Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.
Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana
Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?
Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?
Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.
Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
Wewe ulitaka nani ndo ujue ni mpinzani wa kweli!?Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.
Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana
Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?
Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?
Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.
Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
Hawa wote uliwaorodhesha siyo ma-double agents. Walihama kweli. Tatizo ni kuwa upinzani Tanzania unahitaji roho ngumu, uvumulivu na determination ya hali ya juu. Walihama wakidhani wanaweza kuiangusha serikali kwa urahisi kumbe sivyo.Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.
Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana
Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?
Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?
Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.
Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
Kwani Bungeni huyu jamaa amewahi kutukana matusi? Hebu tusanue jamaa yangu ni matusi yapi alitukana? Au zile takwimu alizokua anatoa kuhusu sukari na deni la taifa Hali kadhalika kukopa kusikoeleweka Ndio matusi? Mana siku hizi kukosoa Kwa wale wa CCM ni matusi, ajabu hata huku uraiani hakuna aliwahi kushtakiwa Kwa kutoa lugha ya matusi, meanwhile tunasema sisi tnafuata utawala wa Sheria, na zipo Sheria za kushughulika na watoa matusi! Hebu tusaide bwana kinembeNa matusi yote Bungeni lakini CCM hawajawahi kumuita hata Kamati ya maadili, anyway, sisi chadema kazi yetu kushangilia tu
Liangalie linyumbu lililokwama hili, lenyewe lilitegenea labda mpina ataenda kwenye kale kakundi kao ka kijinga kumbe amewapiga chenga.....mtaishia hivi hiviIla ACT sio chama cha upinzani, ni chama kidogo cha CCM.
Hivi kwa nini mtu akikatwa akaenda kutafuta maisha pengine mnasema ni double agent?Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.
Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana
Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?
Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?
Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.
Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
Nilivyoshauri Chadema na Tundu Lissu wahamie CCM kama kweli wanamaanisha katika kuleta mabadiliko ya kweli. Baadhi yenu hamkunielewa. Sasa nyie baadhi mmeanza kutuelewa !Njia pekee ya kupambana na mfumo mbovu sasa hivi ni kuendelea kubaki ndani ya chama na kupigana humo humo.