Nduki Kali, golikipa kaugusa lakini mpira ukamshinda, SIO GOAL?!Mpira wa miguu hufungwa na viungo vyote isipokuwa mikono.
Magoli ya mikono yapo bafuni huko.
Golikipa anaruhusiwa kucheza mpira na kiungo chochote kile katika eneo lake, anapojaribu kusave na akashindwa kusave ni goli hata kama kaugusa na makalio.Nduki Kali, golikipa kaugusa lakini mpira ukamshinda, SIO GOAL?!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ngoja niulize watu wa Mtama.
Labda yale magoli ya Tambwe aliyoyafunga kwenye mechi za Simba na CoastalMpira wa miguu hufungwa na viungo vyote isipokuwa mikono.
Magoli ya mikono yapo bafuni huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpira wa miguu hufungwa na viungo vyote isipokuwa mikono.
Magoli ya mikono yapo bafuni huko.
Asante kwa maelezo mkuuScenario 4;
Timu inashambulia
1) Suarez anarusha kwenye 18 ya Madrid,hakuna aliyegusa. Mpira unaingia golini.
Maamuzi: sio goal,Goal kick. Madrid wapige
2)Suarez anarusha kwenye 18 ya Madrid. Kipa kaugusa,ukamshinda,ukaingia golini
Maamuzi:Goal. Mpira kati ya uwanja
Timu inajilinda. Mpira uko kwenye nusu yao
3)Gerrad pique anamrushia kipa wake au mwenzie aliye karibu Na goal la Barca. Mpira hajagusa MTU,unaingia golini.
Maamuzi: corner. Madrid wanakuja kupiga.
4)Gerrad Pique anarusha kwa kipa wake au MTU mwenzie wa Barca. Kipa kaugusa,ukajaa wavuni
Maamuzi. Goal. Mpira kati
Mpira wa kurushwa kuelekea golini usipoguswa ukiingia golini. Assume umetoka nje ya goli pembeni au juu. Ndio maamuzi yafuate.
Hakuna goal linafungwa kwa THROW IN bila kuguswa.
SHERIA NAMBA 15 KATIKA ZILE 17