sawee225
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 3,224
- 12,109
Wakuu salaam,
Nilikuwa naangalia ndondo ya mtaa ukatokea utata hapa dakika za lala salama.
Umerushwa mpira ukaingia ndani ya goli moja kwa moja bila kuguswa. Watalaam wa sheria 17 za mpira niwaulize, hilo litahesabika kama goli?
Sent using Jamii Forums mobile app