johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
PM mmmmhhhhhhNauliza tu iwapo uchapa kazi wa mkurugenzi wa Kahama na madiwani wake umewaponya pia Wakurugenzi wa Geita, Temeke na wengine waliorudisha magari ya bei ghali kwa waziri mkuu.
Wajuzi wa itifaki za misamaha tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Said who ?Msamaha unamhusu DED/MED wa Manispaa ya Kahama pekee
Tamko la rais lime-specify anayesamehewa na sifa za mwenye kusamehewa zikatolewa hadharani kwamba ni mchapakazi, mbunifu, anatumia mapato ya ndani ya halmashauri vizuri, anavutia wawekezaji kwa kutoa ardhi bure na zaidi anapigwa majungu tu na baadhi ya viongozi. Kwa sifa hizo hadi akaagiza gari V8 ya milioni 400+ arudishiwe.Said who ?
Let's wait and see ...Tamko la rais lime-specify anayesamehewa na sifa za mwenye kusamehewa zikatolewa hadharani kwamba ni mchapakazi, mbunifu, anatumia mapato ya ndani ya halmashauri vizuri, anavutia wawekezaji kwa kutoa ardhi bure na zaidi anapigwa majungu tu na baadhi ya viongozi. Kwa sifa hizo hadi akaagiza gari V8 ya milioni 400+ arudishiwe.
Je hao wakurugenzi wa halmashauri za Geita, Chato wana sifa hizo.
Bwashee umeishiwa pumzi!Siasa za kiki zina vichekesho vyake.
Nimejiunga hapa jukwaani 2011, sijawahi kukata moto. Nina consistance ya uhakika.Bwashee umeishiwa pumzi!