GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la mwisho ni Mikakati ya Watu wakubwa (Vigogo) wanaojihusisha na Uingizaji na Usambazaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya nchini Tanzania.
Hata hivyo naomba niwakaribisheni nanyi Great Thinkers wa Mtandao huu pendwa wa JamiiForums ili nanyi pia muweze kutiririka na kuserereka juu ya kile ambacho mnakijua pengine hata kuliko haya ambayo Mimi GENTAMYCINE nimedokezwa na Wabobezi wa Masuala Mtambuka hapa Tanzania.
Najua hamtaniangusha Wakuu.
Twende Kazi!