Kuna kitu kinaitwa Asili yaani Haiwezi kutokea kukawa Na Diamond Mwingine!
Uzuri wa kufanya kazi Kwenye Label ni Kwamba Ukitoa Ngoma Zitakuwa Hit na Zitaweza Kuwa Promoted kwa Kiasi Kikubwaa Sana! Kabla wimbo Haujatoka Wanakaa Watu 10 wanaopiga mziki wanakosoa mziki ukienda Hewa Ni Ngoma Kweli
Sasa Harmonize hawezi kuwa Diamond,Diamond Ndio Msanii Alie Zalisha Wasanii Wengine Wengi kipindi ambacho Game Ni Ngumuuu Hasaaaaaaa! Diamond Hakuchukui Ukiwa Maarufu Anakuchukua Ambako Watu hawakuwa wanakufahamu na kukufanya Wewe! Sio Kama Management zingine zinakutaka wewe kwasababu Upo kwenye Peak hiyo kuanguka ni Rahisi sana! Kati Ya Watu 100 watakao weza kutumia Mali za Urithi Ni 2 au Mmoja Kwasababu Sio jasho lao hawajui hustle na kila kitu so umakini unahitajika
Mwisho UNO ni ngoma Ya kawaida