Je, Msanii Harmonize anatengenezwa kimakusudi ili kuumaliza Ufalme wa Diamond baada ya Kiba kujimaliza mwenyewe?

Je, Msanii Harmonize anatengenezwa kimakusudi ili kuumaliza Ufalme wa Diamond baada ya Kiba kujimaliza mwenyewe?

Kiba kashindwa,wakajaribu kwa aslay nae mapeema katepeta,
Mondi ni taasisi kubwa
Wanachofanya ni kupata mtu mwingine wa kuchukua nafasi ya kiba,,kiba kaachwa mbali na Mondi,
Konde boy ndo yupo nyuma ya Mondi kwa ubora kwa sasa,
 
Anayemiliki WCB ni Kusaga!
Anayemiliki Clouds ni Rostam Aziz

Kusaga aliuza Clouds baada ya ndugu zake kutaka wagawane, Rostam alinunua kwa sharti la kutopenda kujulikana na alisema management ibaki na Ruge.
Kuna urafiki wa siri kati ya Kusaga na Makonda na wanajua siri kubwa ya kifo cha Ruge,
ndio maana unaona Clouds watangazaji wanalipwa vizuri.

Ndio maana unaona Rostam aliamua kuiachia Magic Fm na Chanel Ten kwa Ccm.
Lengo la Kusaga Clouds ife na Wasafi idominate soko! je ataweza kupambana na Tycon Rostam?
So ni kweli Harmonaze inawezekana kuna Mtu mzito kuondoka kwake WCB. tusubiri tuone!
 
Well said wanasemaga "when you find yourself in the position to help someone , be happy because God is answering that person's prayer through you" ...

Naona baada ya Kukushtua kuwa Kiingereza chako ulichokiandika pale mwanzo ' Grammatically ' hakikuwa sahihi nawe kwa Kuonyesha Ushirikiano wako wa Kutukuka Kwangu haraka sana umekirekebisha. Safi sana Mkuu kwani kwa haya Marekebisho uliyoyafanya hata Mimi nisiyekijua ' Kiingereza ' vizuri angalau kidogo nimeweza Kukuelewa tofauti na kile ' Ulichokichapia ' mwanzoni. Ila Siku zingine usiwe unapata sana Shida Kuandika kwa Kiingereza ambacho inaonekana kinakupa Usumbufu badala yake Wewe kuwa tu kama Mimi / Sisi ambao tunaandika zetu kwa Kiswahili chetu hiki na bado tunaeleweka vizuri tu. au uliambiwa kuwa ukiandika kwa Kiswahili ' Members ' wa JF hawatojua kama na Wewe umesoma na ni Mweledi pia?

Sasa mbona hata hujaniambia Asante Mkuu kwani nimekuokoa mapema ili ' JF Wordsmiths ' wasije Kukucheka mbeleni?
 
Mmh hapo sijaelewa, Rostam kaingia lini clouds????
Anayemiliki WCB ni Kusaga!
Anayemiliki Clouds ni Rostam Aziz

Kusaga Aliuza Clouds Baada Ya Ndugu Zake Kutaka Wagawane, Rostam Alinunua Kwa Sharti La Kutopenda Kujulikana Na Alisema Management Ibaki Na Ruge, Kuna Urafiki Wa Siri Kati Ya Kusaga Na Makonda Na Wanajua Siri Kubwa Ya Kifo Cha Ruge,
Ndio Maana Unaona Clouds Watangazaji Wanalipwa Vizuri, Ndio Maana Unaona Rostam Aliamua Kuiachia Magic Fm Na Chanel Ten Kwa Ccm.
Lengo La Kusaga Clouds Ife Na Wasafi Idominate Soko! Je Ataweza Kupambana Na Tycon Rostam? Nyaraka Zinaonyesha Ivyo. So Ni Kweli Harmonaze Inawezekana Kuna Mtu Mzito Kuondoka Kwake WCB. Tusubiri Tuone!
 
Mimi sio fan wa platnumz lakini nakubali kuwa jamaa ameubadili muziki na showbiz kiujumla kuwa commercial zaidi. Pia ameweka standard zake katika muziki ambazo ni ngumu kuzifikia haswa kwa COPY yake kama Harmo.

Diamond kwa sasa ameondoka katika kuwa mwanamuziki tu bali ICON wa muziki wa EAST AFRICA na pia inspiration kwa vijana wengi. Diamond kwa sasa ni INFLUENTIAL na anaweza kutengeneza Pesa kupitia brand yake hata asipotoa ngoma mwaka mzima

siziamini hizi drama zao ila kama ni halisi basi msimjaze maneno.. Harmo hana hizo muscles bila PROMO na bado hana Strong brand iliyo INDEPENDENT au TALENT ya kumtetemesha Diamond. He is just a parody and musical investment ya Platnumz.
 
Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la mwisho ni Mikakati ya Watu wakubwa (Vigogo) wanaojihusisha na Uingizaji na Usambazaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya nchini Tanzania.

Hata hivyo naomba niwakaribisheni nanyi Great Thinkers wa Mtandao huu pendwa wa JamiiForums ili nanyi pia muweze kutiririka na kuserereka juu ya kile ambacho mnakijua pengine hata kuliko haya ambayo Mimi GENTAMYCINE nimedokezwa na Wabobezi wa Masuala Mtambuka hapa Tanzania.

Najua hamtaniangusha Wakuu.

Twende Kazi!

[Ni kweli kabisa Ali Kiba ameshuka sana, lakini hebu nipe kwa ufupi ... kajimalizaje mwenyewe?!]
 
Mimi sio fan wa platnumz lakini nakubali kuwa jamaa ameubadili muziki na showbiz kiujumla kuwa commercial zaidi. Pia ameweka standard zake katika muziki ambazo ni ngumu kuzifikia haswa kwa COPY yake kama Harmo.

Diamond kwa sasa ameondoka katika kuwa mwanamuziki tu bali ICON wa muziki wa EAST AFRICA na pia inspiration kwa vijana wengi. Diamond kwa sasa ni INFLUENTIAL na anaweza kutengeneza Pesa kupitia brand yake hata asipotoa ngoma mwaka mzima

siziamini hizi drama zao ila kama ni halisi basi msimjaze maneno.. Harmo hana hizo muscles bila PROMO na bado hana Strong brand iliyo INDEPENDENT au TALENT ya kumtetemesha Diamond. He is just a parody and musical investment ya Platnumz.
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻💯💯💯💯💯.
 
Jana ali kiba alifanya interview pale wasafi fm sema tu apendi show off .aliomba kirekodiwe aka sikilize na jamaa zake wa kariakooo

Nimecheka kifala hahahahahaha
 
Same Old Cat get his kangol clapped brain blown back,shame on black game so wack.
BIG.jpg
 
Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la mwisho ni Mikakati ya Watu wakubwa (Vigogo) wanaojihusisha na Uingizaji na Usambazaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya nchini Tanzania.

Hata hivyo naomba niwakaribisheni nanyi Great Thinkers wa Mtandao huu pendwa wa JamiiForums ili nanyi pia muweze kutiririka na kuserereka juu ya kile ambacho mnakijua pengine hata kuliko haya ambayo Mimi GENTAMYCINE nimedokezwa na Wabobezi wa Masuala Mtambuka hapa Tanzania.

Najua hamtaniangusha Wakuu.

Twende Kazi!
Umepata ajira kwenye kiwanda cha kupika majungu?
 
Kuna kitu kilionekana jna kipindi video y uno wameitoa video ilikuwa ina chata ya WCB ikiwa inamahan video ipo chini yao
 
Back
Top Bottom