Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said wanasemaga "when you find yourself in the position to help someone , be happy because God is answering that person's prayer through you" ...
Nini mmakonde bwanaaa, Domo ameshindanishwa na wangapi mbaka sasa na bado anatamba mjini hapa??
Anayemiliki WCB ni Kusaga!
Anayemiliki Clouds ni Rostam Aziz
Kusaga Aliuza Clouds Baada Ya Ndugu Zake Kutaka Wagawane, Rostam Alinunua Kwa Sharti La Kutopenda Kujulikana Na Alisema Management Ibaki Na Ruge, Kuna Urafiki Wa Siri Kati Ya Kusaga Na Makonda Na Wanajua Siri Kubwa Ya Kifo Cha Ruge,
Ndio Maana Unaona Clouds Watangazaji Wanalipwa Vizuri, Ndio Maana Unaona Rostam Aliamua Kuiachia Magic Fm Na Chanel Ten Kwa Ccm.
Lengo La Kusaga Clouds Ife Na Wasafi Idominate Soko! Je Ataweza Kupambana Na Tycon Rostam? Nyaraka Zinaonyesha Ivyo. So Ni Kweli Harmonaze Inawezekana Kuna Mtu Mzito Kuondoka Kwake WCB. Tusubiri Tuone!
Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la mwisho ni Mikakati ya Watu wakubwa (Vigogo) wanaojihusisha na Uingizaji na Usambazaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya nchini Tanzania.
Hata hivyo naomba niwakaribisheni nanyi Great Thinkers wa Mtandao huu pendwa wa JamiiForums ili nanyi pia muweze kutiririka na kuserereka juu ya kile ambacho mnakijua pengine hata kuliko haya ambayo Mimi GENTAMYCINE nimedokezwa na Wabobezi wa Masuala Mtambuka hapa Tanzania.
Najua hamtaniangusha Wakuu.
Twende Kazi!
[Ni kweli kabisa Ali Kiba ameshuka sana, lakini hebu nipe kwa ufupi ... kajimalizaje mwenyewe?!]
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻💯💯💯💯💯.Mimi sio fan wa platnumz lakini nakubali kuwa jamaa ameubadili muziki na showbiz kiujumla kuwa commercial zaidi. Pia ameweka standard zake katika muziki ambazo ni ngumu kuzifikia haswa kwa COPY yake kama Harmo.
Diamond kwa sasa ameondoka katika kuwa mwanamuziki tu bali ICON wa muziki wa EAST AFRICA na pia inspiration kwa vijana wengi. Diamond kwa sasa ni INFLUENTIAL na anaweza kutengeneza Pesa kupitia brand yake hata asipotoa ngoma mwaka mzima
siziamini hizi drama zao ila kama ni halisi basi msimjaze maneno.. Harmo hana hizo muscles bila PROMO na bado hana Strong brand iliyo INDEPENDENT au TALENT ya kumtetemesha Diamond. He is just a parody and musical investment ya Platnumz.
Ahaaaaaaaah harmonize anaushindani gani bhana are you kidding.................?Mimi naona bora hamo kajitoa wcb italeta ushindani kwenye soko LA ndani na njee
Game ilikuwa impoa sana
Jana ali kiba alifanya interview pale wasafi fm sema tu apendi show off .aliomba kirekodiwe aka sikilize na jamaa zake wa kariakooo
Umepata ajira kwenye kiwanda cha kupika majungu?Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la mwisho ni Mikakati ya Watu wakubwa (Vigogo) wanaojihusisha na Uingizaji na Usambazaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya nchini Tanzania.
Hata hivyo naomba niwakaribisheni nanyi Great Thinkers wa Mtandao huu pendwa wa JamiiForums ili nanyi pia muweze kutiririka na kuserereka juu ya kile ambacho mnakijua pengine hata kuliko haya ambayo Mimi GENTAMYCINE nimedokezwa na Wabobezi wa Masuala Mtambuka hapa Tanzania.
Najua hamtaniangusha Wakuu.
Twende Kazi!