Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM