Je, Msigwa ndani ya CCM ni assert ama ni liability?

Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.

Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.

Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.

Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?

Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?

Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.

Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.

Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Msigwa huko CCM ni kama zigo la mavi habebeki. Kumtukana Mbowe hakuisaidii chochote CCM.
 
20240906_190156.jpg
 
Kilio chake ni Mbowe, jamani Mbowe, Mbowe amefanya hiki na kile, yani kaisahau CCM kabisaaa....😄😄😄😄😄😄
 
Sugu kumng'oa tu uenyekiti tu wa kanda ya nyasa huyo msigwa Chadema ikageuka shubiri kwake, hivi kweli miaka 10 aliyokaa chadema hayo anayoyasema hakuyaona au aliyaona baada ya kung'olewa uenyekiti? Wanasiasa wa tanzania acheni kuwageuza wananchi kama mazwazwa! Msigwa ni mzoga tu ccm asubir huruma ya system impe udc au udac basi hana hoja...
 
Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.

Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.

Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.

Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?

Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?

Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.

Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.

Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.

Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.

Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.

Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?

Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?

Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.

Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.

Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Msigwa ni mzigo kwa sababu hana cha ku-Offer CCM.
Isipokua anatafuta maslahi binafsi (kuingiza kipato akiamini atapata uteuzi ) hivo familia yake itaishi.
 
Msigwa ni mwanachama wa kawaida tangu alipokua chadema na ccm ni vivyo hivyo, muhimu zaidi ni kwamba ni mwanasiasa anaejuelewa na kujitegemea...

Kesi ya Mbowe aliyomfungulia Msigwa, Tundu Lisu hana mbavu anamcheka mwenyekiti wake hadi anajifungia chooni asistukiwe :pedroP:
Thread zingine, uwe unaziacha zipite, sio lazima uchangie!
 
Kwa hiyo wewe siku hizi siyo chawa tena, bali ni nzi? Maana nzi, chooni na majalalalni, ndiyo makazi yake, hivyo anamwona kila anayeenda chooni.
 
Dududaya anamwita popoma Lindindindi hahaha😀
Yaani jamaa anaonekana ananipenda sana CDM kuliko maana kila kukicha yeye ni kukipondea TU , hii kisaikolojia sio vizuri, unafika muda huwezi kufanya jambo la maana na kuwaza watanijibu vipi, halafu anaona watu hawamjibu anapata sonona, anapoteza marafiki, mama hataki kuwa kama mwendazake kuwapa wageni teuzi, Angekua Magu Upendo Peneza Angekua amelamba teuzi na Msigwa pia hata U-DC
 
Aliondoka na mimba changa sasa hizo kelele anadai matunzo ya mimba yake
 
Kwa hiyo wewe siku hizi siyo chawa tena, bali ni nzi? Maana nzi, chooni na majalalalni, ndiyo makazi yake, hivyo anamwona kila anayeenda chooni.
anashindwa kujizuia kucheka,
saa zingine inamlazimu azuge anaenda chooni kumbea anaenda kuangua kucheko dah,:pedroP:

dah, nyie haya mambo ya kisiasa za kuviziana yanachekesha sana dah:pedroP:
 
CCM inajilaumu sana kwa huu ununuzi wa Msigwa. Maana hata kabla ya kuipa CCM faida yoyote, tayari anaiomba CCM imsaidie kwenye kesi yake ya uropokaji, na kutakiwa kulipa fidia ya bilioni 5
 
Thread zingine, uwe unaziacha zipite, sio lazima uchangie!
siwezi kupita kwasababu sipendi nipete mahali ambapo huwezi kujizuia kupita :pedroP:

hata hivyo,
usingechangia wewe ingependeza zaidi gentleman:NoGodNo:
 
Back
Top Bottom