Msigwa sio Asset kwasababu ameenda Ccm kuokota
Amejikita zaidi katika kushambulia na sio kujenga
Mwaka 2020 Rais JPM wazee wa Iringa walimfata Rais nakumuomba kuwa Msigwa aendelee kuwa mbunge asichezewe rafu
Hivyo wakati yupo CDM alikuwa Asset Ila sasa ndani ya CCM amekuwa liability.
Haiwezeki watu waliowaponda na kuwakosoa miaka 10 mfulilizo Leo hii useme ni wazuri wanafaa!
Huwa wanaangalia wa Kuwapa..πHivi bado hajapata ukuu wa wilaya ama wa mkoa kumbe yuko chini ya uangalizi? mimi nilidhani ukiingia tu unapewa, I thought it is an easy go
Soma maoni ya wengine kwanza kabla hujaropokaMsigwa ni mwanaccm sasa, kama ni asset au liability wewe mwanachadema inakuhusu nini? Mambo ya ccm waachie ccm wenyewe wataamua kumtumia kadri wanavyoona inawafaa. Inaelekea Msigwa amewashika pabaya chadema
Garasa, gangwala au ukipenda zaidi nyangarakasha.Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa.
Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote
Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati akitambulishwa rasmi na yeye akaahidi kufanya makubwa.
Tangu hapo ameshindwa kabisa kuonesha ataifanyia nini ccm zaidi ya kila siku kukisema vibaya chama chake cha CHADEMA hasa hasa mwenyekiti wake.
Hivi karibuni amefunguliwa kesi ya fidia kwa kuongea uzushi na mwenyekiti wa CHADEMA
Kwa analysis ya haraka kwa kipindi alichohamia ccm je amekuwa mtaji ama amekuwa mzigo?
Je CCM wataweza kumbeba kwenye kesi inayomkabili?
Je ccm wataendelea kumbeba na kumvumilia porojo zake? Kwa muda gani?
Tuupe muda wakati lakini ni wazi Makalla akimuachia mkono December mbali tutamkuta ghalani kule walikotupwa wahamiaji wengi.
Kwa namna alivyoisakama na kuisema vibaya CCM alipokuwa CHADEMA asidhani wamesahau.
Wanacheka naye usoni lakini moyoni wanamng'ong'a.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Huwa wanaangalia wa Kuwapa..πHivi bado hajapata ukuu wa wilaya ama wa mkoa kumbe yuko chini ya uangalizi? mimi nilidhani ukiingia tu unapewa, I thought it is an easy go
Soma maoni ya wengine kwanza kabla hujaropokaMsigwa ni mwanaccm sasa, kama ni asset au liability wewe mwanachadema inakuhusu nini? Mambo ya ccm waachie ccm wenyewe wataamua kumtumia kadri wanavyoona inawafaa. Inaelekea Msigwa amewashika pabaya chadema
Unakumbuka sarakasi zs CDM na Lowassa? Siasa hazina adui wa kudumu.
Huwa wanaangalia wa Kuwapa..πHivi bado hajapata ukuu wa wilaya ama wa mkoa kumbe yuko chini ya uangalizi? mimi nilidhani ukiingia tu unapewa, I thought it is an easy go
Soma maoni ya wengine kwanza kabla hujaropokaMsigwa ni mwanaccm sasa, kama ni asset au liability wewe mwanachadema inakuhusu nini? Mambo ya ccm waachie ccm wenyewe wataamua kumtumia kadri wanavyoona inawafaa. Inaelekea Msigwa amewashika pabaya chadema
View attachment 3089999Unakumbuka sarakasi zs CDM na Lowassa? Siasa hazina adui wa kudumu.