Je! mtandao ukiwa na download speed kubwa ndio mzuri ?

Sasa kutakuwa na maana gani ya kuwa na internet hata ya 10gbps lakini hata viber huwezi kuongea, huwezi fanya video call, ipo slow kubrowse, huwezi angalia vitu live online nk?

As long as internet zenye ping ndogo zipo na sisi wateja tutazitaka tu, hizo process za juu ni kazi ya isp sisi tunalipa hela wao wanatakiwa watupe huduma bora.
 
hii ni airtel
 
Attachments

  • 1441866500938.jpg
    56.5 KB · Views: 469
Nilikuwa nakuelewesha kuwa hiyo ping time pia inategemea speed. Hicho unachokiona kama speed kwenye speed test ni uplink/downlink yako (i.e. kati yako na ISP wako)
 
Ila hapo kwenye kutest kwa kutumia device yangu nilikuwa natumia server mbili tofauti ya Antananarivo na South Africa.

Kwa screenshot hii nimetumia server ya Antananarivo kwa upande wa device report ila ya Airtel Tanzania huwa inabaki hiyo hiyo.
 
Airtel kwenye modema ilikuwa inasoma 7Mbps ila kufungua page ilikuwa shida but vitu ambavyo nilikuwa nimevianzisha kudownload kwenye torrent vilikuwa vinaenda 40Kbps.

I don't know why?
 
Airtel kwenye modema ilikuwa inasoma 7Mbps ila kufungua page ilikuwa shida but vitu ambavyo nilikuwa nimevianzisha kudownload kwenye torrent vilikuwa vinaenda 40Kbps.

I don't know why?

itakuwa kuna vitu vinadownload chini kwa chini kama windows update, au app nyengine inaji update. imechukua muda sana hio hali?
 
Chief Mkwawa wewe ni moja ya Watz ambao mchango wenu unatakiwa sana kwa jamii ya Wabongo Umetoa mchango wa elimu yako pasi kuleta mambo ya siasasiasa kwa kuegemea upande wowote ule Ulichoongelea ni kweli tupu,mimi natumia IPTV ,aina ya box ni ULTRA 4 QUAD CORE,operating system ni Android 4.4 na HDMI cable kwa connection nk Picha za tv na video resolution quality zake ni za hali ya juu Naweza kuona tv za dunia nzima zikiwemo za bongo nk,lakini ni lazima uwe na high speed internet na GB za kutosha Huku niliko quality ya internet ni very high ,kikubwa ni hela yako mwenyewe na kwa huko nyumbani Serikali inaweza kuwabana hao intern providers kwa kuimarisha huduma zao na vilevile zikawa za uhakika muda wote kwani huduma kama hii inahitaji sana internet ya uhakika...Hongera sana Mtani Chief Mkwawa kwa maelezo yako,niko tayari kutoa taarifa zaidi kuhusu IPTV iwapo kuna mtu atazihitaji
 
Zinauzwa sh ngap hzo iptv, ni HD real na average bund kias gan kwa mwez mtu anaweza kutumia
 
Truu mkuu na kwa sisi tunaotumia proxy kwenye hii mitandao yetu tunaexperince sana hii kitu....ntafanya majaribio kwenye ttcl ntakupatia majibu chief
 
A

Asante sana kwa somo zuri
 
hio kama ya operamini,
Mkuu unaweza msaidiaje mtu ambaye instagram account yake iko hacked na no aliyojiungia alibadiri kwa sasa hana access nayo na email ambayo alijiungia hana access nayo haitumii ila kitu kimoja alijiunga instagram kupitia account ya facebook
 
awasiliane na instagram moja kwa moja na awape details nyingi kadri atakavyoweza kama password ya zamani, hio id ya FB vitu alivyofanya zamani etc.

hio namba iweje asiipate? kama ilikuwa ni yake si akai renew?
 
Je kama hacker kabadiri hadi no na email ina maana gani ku renew no?
 
Je kama hacker kabadiri hadi no na email ina maana gani ku renew no?

akibadili email na namba tena ndio inakuwa rahisi kumdaka, sababu instagram wakikurudishia watakupa na details kama hizo, hio namba/email ya zamani itatumika kufanyia recovery.

huwa most of time hakuna cha hack wala nini, ni mshkaji wako tu wa karibu ndio anakuibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…