Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Hii ni kwa pc au hata simu mzee wa kazi nami niwekemambo ya tech huwezi kufanya generalisation hivyo.
na ufahamu voda na halotel Tanzania speed yao ni above average compare na speed ya dunia.
hapo tutahitaji kujua mtandao aliotumia huko holland, site alizovisit huko na huku, na mambo mengine mengi
na ultimatum ni kuweka firewall, haiwezekani mtu utumie tu dhana na uache kutumia njia za kitaalamu, firewall haitadanganya kama kuna update ama chochote kilichomaliza data itakuambia.