Je, mtandao wa Smile umefunga virago Tanzania?

Hii ni kwa pc au hata simu mzee wa kazi nami niweke
 
Nina laini yao Safaricom, Aisee kweli asikwambie mtu bando bei ni mkasi sana heri ndugu zao wa hapa nchini voda...
We unazipata wapi hiso mkasi sheikhe mbona kama zina ka uwiano flan tu sawa
 
Yeah ni kweli ila sikuitaja hiyo mana naijua hadi net assets figure yake. Haijafika hata nusu ya pesa amevuna alipouza hisa za voda. Voda alipouza awamu mbili alivuna zaidi ya 1T za kitanzania.

Pia mkumbuke Rostam ana Mihans/Taifa Gas
 
Hawajakosea, kuna segment ambayo waliitarget kutoa huduma, mfumo wao haukuwalenga watu wenye kipato kidogo, hakuna makosa hapo isipokuwa biashara imekuwa ngumu sana si kwao tu na corona ikamaliza kabisa.
 
[emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…