demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Mwaka 1979. Kindi hiko sheri y offside wal hikuwepo, Mikia FC walipindua matokea ya mabao 4 dhidi ya Mufulira Wonderers FC katika michuano hii hii ya Klabu Bingwa Bara la Afrika. Mikia FC wliweza kupata ushindi amabao 5 n kufnikiwa kuinga hatua inayofuata. Leodgar Tenga aliwahi kusema siku moja kama endapo ile mechi ingechezwa nyakati hizi za sasa basi magoli 4 kati ya 5 yangekuwa batili. Tenga alimaanisha kuwa kuna baadhi ya mabao yalifungwa kwa offside na lingine kwa penati ya upendeleo.
Kumbuka enzi hizo CAF ilikuwa ikitumia waamuzi/marefa kutoka nchi ambayo mechi inafanyika.
Je Mikia FC wataweza kupindua matokeo ndidi ya Kaizer Chiefs wiki ijayo?
Kumbuka enzi hizo CAF ilikuwa ikitumia waamuzi/marefa kutoka nchi ambayo mechi inafanyika.
Je Mikia FC wataweza kupindua matokeo ndidi ya Kaizer Chiefs wiki ijayo?