Je, Mtani atapindua Matokeo kwa Mkapa?

Je, Mtani atapindua Matokeo kwa Mkapa?

Kufunga nne SIMBA anaweza ,Ila najiuliza je tutawazuia wao kupata goli, sababu Ile mechi ya Vita ,wangekutulia tungefunga goli hata Saba,Ila washambuliaji wa Simba awapo makini kutumia nafasi
Tafakuri yako ya msingi sana.
 
Wakifanya hivyo kifungo linawahusu,CAF kwasasa inaongozwa na Mzulu sio yule Muhibdi wa Madagascar.

Hahaha. Jamaa fulani baada ya game kuisha akasema "hawa jamaa wakija Dar mechi ichezwe saa 9 mchana". Nikamjibu "Kwa hiyo wachezaji wa simba watavaa kofia za mianvuli". Lol
 
Simba kwa mkapa atapiga pasi nyingii na pira biriani ila kupita hatapita .. goli 4-0 nyingi sana kwa mpira wa africa kuzipindua zama hizi marefa waoga waoga

Pia goli 4 ni nyinga sana kwa mpira ambao hujzalisha hata shot on target moja kwenye 1st leg.
 
Mwaka 1979. Kindi hiko sheri y offside wal hikuwepo, Mikia FC walipindua matokea ya mabao 4 dhidi ya Mufulira Wonderers FC katika michuano hii hii ya Klabu Bingwa Bara la Afrika. Mikia FC wliweza kupata ushindi amabao 5 n kufnikiwa kuinga hatua inayofuata. Leodgar Tenga aliwahi kusema siku moja kama endapo ile mechi ingechezwa nyakati hizi za sasa basi magoli 4 kati ya 5 yangekuwa batili. Tenga alimaanisha kuwa kuna baadhi ya mabao yalifungwa kwa offside na lingine kwa penati ya upendeleo.

Kumbuka enzi hizo CAF ilikuwa ikitumia waamuzi/marefa kutoka nchi ambayo mechi inafanyika.

Je Mikia FC wataweza kupindua matokeo ndidi ya Kaizer Chiefs wiki ijayo..?

View attachment 1786378
Sahau habari za miaka hiyo
 
Kwa mkapa mtawafunga miguu?au mnategemea spray za sumu vyumbani mle maana kimpira mshaonyesha hamuwawezi wale jamaa
Kabisa hawawezi hata kaizer wacheze pungufu ya mchezaji mmoja hawa paka hawawezi kufikisha hata goli 2. Fikiria mbinu waliyokuja nayo,waliwaruhusu hawa paka wachezee mpira,lakini hata shut moja kwenye lango lao hawakurusu
 
Kaizer unaweza sema ni wa kawaida lakini kama ni wa kawaida,ni kwanini Simba tumeshindwa hata kupata goli moja au mbili?
Kupindua matokeo kwa goli nne bila haiwezekani labda wale Kaizer wafungwe kamba miguuni.
 
Back
Top Bottom