Uwepo wa mkude na lwanga ulisaidia sana kupunguza idadi ya magoli. Imagine mngecheza na holding midfield mmoja.Kiungo cha mkude na lwanga ni fake original ni mzamiru na lwanga ila kelele za watu tu kocha kapitiwa.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Wakifanya hivyo kifungo linawahusu,CAF kwasasa inaongozwa na Mzulu sio yule Muhibdi wa Madagascar.
Simba kwa mkapa atapiga pasi nyingii na pira biriani ila kupita hatapita .. goli 4-0 nyingi sana kwa mpira wa africa kuzipindua zama hizi marefa waoga waoga
Kwa hio wao watakuja wasimame uwanjani tu simba wawe wanacheza wenyewe? Au spray vyumbani?Inawezekana, mchezo wa Kaizer ni wa kawaida sana.
Vv
Labda wataingia uwanjani na yale mapaka yao ๐บ๐น๐ผ๐๐พ waliyo watishia Platinum fc!Kwa mkapa mtawafunga miguu?au mnategemea spray za sumu vyumbani mle maana kimpira mshaonyesha hamuwawezi wale jamaa
Mtaji wao uliobaki ni huo tu. Wasipofanya hivyo, basi Bi Hindu SC " KWISHNEY"Wakifanya hivyo kifungo linawahusu,CAF kwasasa inaongozwa na Mzulu sio yule Muhibdi wa Madagascar.
Sahau habari za miaka hiyoMwaka 1979. Kindi hiko sheri y offside wal hikuwepo, Mikia FC walipindua matokea ya mabao 4 dhidi ya Mufulira Wonderers FC katika michuano hii hii ya Klabu Bingwa Bara la Afrika. Mikia FC wliweza kupata ushindi amabao 5 n kufnikiwa kuinga hatua inayofuata. Leodgar Tenga aliwahi kusema siku moja kama endapo ile mechi ingechezwa nyakati hizi za sasa basi magoli 4 kati ya 5 yangekuwa batili. Tenga alimaanisha kuwa kuna baadhi ya mabao yalifungwa kwa offside na lingine kwa penati ya upendeleo.
Kumbuka enzi hizo CAF ilikuwa ikitumia waamuzi/marefa kutoka nchi ambayo mechi inafanyika.
Je Mikia FC wataweza kupindua matokeo ndidi ya Kaizer Chiefs wiki ijayo..?
View attachment 1786378
Kabisa hawawezi hata kaizer wacheze pungufu ya mchezaji mmoja hawa paka hawawezi kufikisha hata goli 2. Fikiria mbinu waliyokuja nayo,waliwaruhusu hawa paka wachezee mpira,lakini hata shut moja kwenye lango lao hawakurusuKwa mkapa mtawafunga miguu?au mnategemea spray za sumu vyumbani mle maana kimpira mshaonyesha hamuwawezi wale jamaa
Hayatatosha Kama siasa za mafisiemKwa Mkapa shots on targets zitakuwa za kutosha na magoli yatapatikana, tatizo ni je magoli yatafika 4?
Vv