ooh i got your point so unataka sisi as wanawake tujaribu kuelezea what will they do to change the country?...in women perspective?ok subiri ngoja niweke point zangu sawa....
ooh i got your point so unataka sisi as wanawake tujaribu kuelezea what will they do to change the country?...in women perspective?ok subiri ngoja niweke point zangu sawa....
Can not continue waiting inachukua mudagani kuweka points zako sawa?
just shut up!.....lol....give me a jinx to do that ok...inabidi niandike chini kwanza ili nisichapie maana nitawapa opportunity watu kama akina ngwaninyami kuongea...which i dont allow that period...
Duu hapo ndipo utakapoharibu zaidi maana nimemwona Uwiano uso Maalum, na kwa maana hiyo Kuhano hayupo mbali....wakiungana na ngwaninyami, itabidi uwe mdogo kama piriton...
unless otherwise unanicheck kwa wasiwasi sana mimi mtu wa kuwa mdogo?nani kasema...wee tafuta pop corn zako alafu subiria uone patriot nitakaloshusha...wenyewe watasalimi amri...
unless otherwise unanicheck kwa wasiwasi sana ...?nani kasema.... subiria uone patriot nitakaloshusha...wenyewe watasalimi amri...
Duu hapo ndipo utakapoharibu zaidi maana nimemwona Uwiano uso Maalum, na kwa maana hiyo Kuhano hayupo mbali....wakiungana na ngwaninyami, itabidi uwe mdogo kama piriton...
Again...Ni Kuhani AKA Kuhani Mkuu na si Kuhano...Ila umenimaliza hapo kwenye piriton.
K01,
Kuna swali niliulizwa kule kwa michezo kama ningepewa nafasi ya kupendekeza kocha wa taifa badala ya maximo nikasema wapo wataalam, aliyeuliza akakaa kimya [sina hakika kama aliridhika]
sasa kwa swali lako nakuambia... nimesoma comments humu wee mpaka nimeng'amua kwamba YOU HAVE ASKED THE WRONG PEOPLE/FORUM, humu sisi majority ni kamba nyingi, vague analysis na kuacha vitu vinaelea elea mno tu! sidhani kama kuna mtu amependekeza 2010 candidate according to your question.
I am hoping that wakuu wa inteligensia ya JF na siasa watatupa nyeti za ubora kwa kuangalia potential candidates waliopo na si wa kubabia babia
OTHERWISE KAMA UNGEULIZA SAFU YA UONGOZI YA JF NDANI YA 2010 UNGEPATA MAJIBU MPAKA UNGECHOKA NA TUNGEKUPA JAPO KWAWIZARA FULANI
shame shame shame on you!.....
Kuhani aka Kuhani Mkuu aka Kuhano bana....mbona hujaweka thanks mazee unanibania meku sio...
Nyie vipi? Anne Kilango Malecela for presidency 2010....nani hataki?
Again...Ni Kuhani AKA Kuhani Mkuu na si Kuhano...
Mimi Nilidhani Kelly thread yako unge edit kichwa that is ki read Sasa ni mwanamke gani Anafaa 2010? kwani details zimebase kwenye gender.
Otherwise according to Petu Hapa, mimi ninaona watu wachache tu wenye guts kama Magufuli. Vinginevyo apewe one of the JF members kama Invisible, Mzee mwanakijiji etc...then watakuwa in a position to chose some others members ambao hawana chembe ya ufisdi toka hapa JF then wawe ministers. Achana na manyama CCM.
Siyo Kila mtu kama JK...yo never know we all think different so kuna mtu lazima yupo hapo tanzania lakini sema tuu tumengangania viongozi wetu hao hao then we call them fisadi tutalalamika wee kubadilika hatutaki....we nedd to think outside the box then take action...talk and action lakini siyo we talk without any action.
Lets try other people and see siyo watu ambao wako kwenye system toka miaka ya 47 unadhani watafanya nini kubadilisha nchi nothing....
Ahsante JMushi, lakini usijali. Nimezoea abuse ndani ya hili jamvi.
Kama posti zako zimejaa "Hapana...Naomba source...Si sahihi...Umeongopa makusudi...Acha kuji contradict" tegemea abuse. Naelewa wanavyofikiri, hivyo siwi fazed nikiwa disparaged.
Ahsante JMushi, lakini usijali. Nimezoea abuse ndani ya hili jamvi.
Kama posti zako zimejaa "Hapana...Naomba source...Si sahihi...Umeongopa makusudi...Acha kuji contradict" tegemea abuse. Naelewa wanavyofikiri, hivyo siwi fazed nikiwa disparaged.
No doubt Kuhani,principles is what matters, na wewe ni mtu wa principle bana, imagine without Kuhani,it will be so empty.lol
Kwahiyo maswali kama hayo uliyomention hapo juu ndiyo what makes JF valuable kwa wasomaji,especially wale wanaoenda kupiga kelele kwa michuzi ama Tanzania daima kuwa forum hii ni biased...Hilo si kweli,forum hii ni HURU ila tutegemee pia mawazo yasiyo HURU cause ndiyo jamii yetu hii.