Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
ooh i got your point so unataka sisi as wanawake tujaribu kuelezea what will they do to change the country?...in women perspective?ok subiri ngoja niweke point zangu sawa....

Exactly,na ndio maana nikawataja kina Mama Kilango kwasababu ndiyo wanawake pekee walioko kwenye position ya kuweza kugombea uraisi....Nina amini kama sheria ya mgombea binafsi ingepitishwa then labda kuna wanawake na wanaume wengi tu tofauti ambao hawako kwenye ranks za vyama vya kisiasa ambao wana uwezo wa kutuongoza.
 
ooh i got your point so unataka sisi as wanawake tujaribu kuelezea what will they do to change the country?...in women perspective?ok subiri ngoja niweke point zangu sawa....

Can not continue waiting inachukua mudagani kuweka points zako sawa?
 
just shut up!.....lol....give me a jinx to do that ok...inabidi niandike chini kwanza ili nisichapie maana nitawapa opportunity watu kama akina ngwaninyami kuongea...which i dont allow that period...
 
Duu hapo ndipo utakapoharibu zaidi maana nimemwona Uwiano uso Maalum, na kwa maana hiyo Kuhano hayupo mbali....wakiungana na ngwaninyami, itabidi uwe mdogo kama piriton...
 
unless otherwise unanicheck kwa wasiwasi sana mimi mtu wa kuwa mdogo?nani kasema...wee tafuta pop corn zako alafu subiria uone patriot nitakaloshusha...wenyewe watasalimi amri...
 
Tunga sera shem....
 
K01,

Kuna swali niliulizwa kule kwa michezo kama ningepewa nafasi ya kupendekeza kocha wa taifa badala ya maximo nikasema wapo wataalam, aliyeuliza akakaa kimya [sina hakika kama aliridhika]

sasa kwa swali lako nakuambia... nimesoma comments humu wee mpaka nimeng'amua kwamba YOU HAVE ASKED THE WRONG PEOPLE/FORUM, humu sisi majority ni kamba nyingi, vague analysis na kuacha vitu vinaelea elea mno tu! sidhani kama kuna mtu amependekeza 2010 candidate according to your question.

I am hoping that wakuu wa inteligensia ya JF na siasa watatupa nyeti za ubora kwa kuangalia potential candidates waliopo na si wa kubabia babia

OTHERWISE KAMA UNGEULIZA SAFU YA UONGOZI YA JF NDANI YA 2010 UNGEPATA MAJIBU MPAKA UNGECHOKA NA TUNGEKUPA JAPO KWAWIZARA FULANI
 
Duu hapo ndipo utakapoharibu zaidi maana nimemwona Uwiano uso Maalum, na kwa maana hiyo Kuhano hayupo mbali....wakiungana na ngwaninyami, itabidi uwe mdogo kama piriton...

Again...Ni Kuhani AKA Kuhani Mkuu na si Kuhano...Ila umenimaliza hapo kwenye piriton.
 
Kuhani aka Kuhani Mkuu aka Kuhano bana....mbona hujaweka thanks mazee unanibania meku sio...
 
K01,

Kuna swali niliulizwa kule kwa michezo kama ningepewa nafasi ya kupendekeza kocha wa taifa badala ya maximo nikasema wapo wataalam, aliyeuliza akakaa kimya [sina hakika kama aliridhika]

sasa kwa swali lako nakuambia... nimesoma comments humu wee mpaka nimeng'amua kwamba YOU HAVE ASKED THE WRONG PEOPLE/FORUM, humu sisi majority ni kamba nyingi, vague analysis na kuacha vitu vinaelea elea mno tu! sidhani kama kuna mtu amependekeza 2010 candidate according to your question.

I am hoping that wakuu wa inteligensia ya JF na siasa watatupa nyeti za ubora kwa kuangalia potential candidates waliopo na si wa kubabia babia

OTHERWISE KAMA UNGEULIZA SAFU YA UONGOZI YA JF NDANI YA 2010 UNGEPATA MAJIBU MPAKA UNGECHOKA NA TUNGEKUPA JAPO KWAWIZARA FULANI

Fuatilia mjadala utaona kuwa mapendekezo ni rais mwanamke na kina mama kadhaa walishatajwa kama kina Anna Killango, Mama,Kelly,Makinda na Sophia Simba,fuatilia mjadala taratibu ndugu yangu na utaelewa tu,mara nyingi mijadala haiendi tunavyotaka lakini ukifuatilia na kuchangia then mjadala eventually utakuwa constructive,only if you carefully read and participate accordingly.
 
Kuhani aka Kuhani Mkuu aka Kuhano bana....mbona hujaweka thanks mazee unanibania meku sio...

Kuhani Mkuu ni jamaaa yangu alinipiga sana tafu hapa bana,ila toka abadili kutoka Kuhani Mkuu hadi Kuhani alibadilika kidogo,si sana ila slight but recognizable difference kwa wale wanaozimia mapande nondo zake.
 
Nyie vipi? Anne Kilango Malecela for presidency 2010....nani hataki?

I concur a hundred and one percent. Tatizo ninaloliona hapa nikuwa mtu anayeweza kumsaidia ni mme wake. wadanganyika wataanza kusema kuna "conflict of interest."
 
Again...Ni Kuhani AKA Kuhani Mkuu na si Kuhano...

Ahsante JMushi, lakini usijali. Nimezoea abuse ndani ya hili jamvi.

Kama posti zako zimejaa "Hapana...Naomba source...Si sahihi...Umeongopa makusudi...Acha kuji contradict" tegemea abuse. Naelewa wanavyofikiri, hivyo siwi fazed nikiwa disparaged.
 
Mimi Nilidhani Kelly thread yako unge edit kichwa that is ki read Sasa ni mwanamke gani Anafaa 2010? kwani details zimebase kwenye gender.

Otherwise according to Petu Hapa, mimi ninaona watu wachache tu wenye guts kama Magufuli. Vinginevyo apewe one of the JF members kama Invisible, Mzee mwanakijiji etc...then watakuwa in a position to chose some others members ambao hawana chembe ya ufisdi toka hapa JF then wawe ministers. Achana na manyama CCM.

Naongezea mwingine The great, statesman and patriot Maxence Mello
 
Siyo Kila mtu kama JK...yo never know we all think different so kuna mtu lazima yupo hapo tanzania lakini sema tuu tumengangania viongozi wetu hao hao then we call them fisadi tutalalamika wee kubadilika hatutaki....we nedd to think outside the box then take action...talk and action lakini siyo we talk without any action.

Lets try other people and see siyo watu ambao wako kwenye system toka miaka ya 47 unadhani watafanya nini kubadilisha nchi nothing....

Kelly dada yangu, katika siasa zetu hakuna ubaguzi wa jinsia. Kama kuna mwanamke anaejiona anaweza kuliongoza hili Taifa basi ni vyema awe na ujasiri wa kugombea kwa chama anachokiamini. Akithibitika kuwa na uwezo, atachaguliwa na kupewa ushirikiano anaouhitaji.

Mimi naamini pia kuna wanawake wenye uwezo mkubwa tu kiuongozi. Tatizo lao ni kutokujiamini, labda ndio maana hawajulikani kwa yeyote humu (hata wewe). Nadhani umefika wakati wanawake wakawa na mwamko wa kushiriki katika kugombea nafasi mbalimbali (kama wafanyavyo wanaume).

Usiniambie waliopo sasa kwenye siasa ni wazuri kiasi cha kuaminika kiasi cha kuwa marais. Sidhani kuwa wanauwezo. Wengi wao tumewaona kwenye siasa kwa miaka mingi, wakiwa na nafasi kubwa tu, ila ufanisi wao sio wa kiwango cha juu kiasi cha kuaminika kuongoza nchi.

Mimi kitu nisichokikubali pia ni hali inayoendelea kujitokeza ya kutoa kipaumbele kwa watu wa jinsia moja ili wapewe nafasi zaidi. Wapewe na nani? Kwanini wasijitutumue wakachukua nafasi wanazotaka kama wafanyavyo wanaume? Kushindwa kwao kujitutumua nayo ni ishara ya kushindwa kwao kuwa viongozi jasiri na wenye uwezo mkubwa wa kuongoza nchi. Inabidi wanawake wawe jasiri zaidi, waache kuombaomba kupewa nafasi, kwakuwa hakuna anaewazuia kuzigombea kama wengine.
 
Ahsante JMushi, lakini usijali. Nimezoea abuse ndani ya hili jamvi.

Kama posti zako zimejaa "Hapana...Naomba source...Si sahihi...Umeongopa makusudi...Acha kuji contradict" tegemea abuse. Naelewa wanavyofikiri, hivyo siwi fazed nikiwa disparaged.

Aaaah Bwenga habari yako museee? Za leo?
 
Ahsante JMushi, lakini usijali. Nimezoea abuse ndani ya hili jamvi.

Kama posti zako zimejaa "Hapana...Naomba source...Si sahihi...Umeongopa makusudi...Acha kuji contradict" tegemea abuse. Naelewa wanavyofikiri, hivyo siwi fazed nikiwa disparaged.

No doubt Kuhani,principles is what matters, na wewe ni mtu wa principle bana, imagine without Kuhani,it will be so empty.lol
Kwahiyo maswali kama hayo uliyomention hapo juu ndiyo what makes JF valuable kwa wasomaji,especially wale wanaoenda kupiga kelele kwa michuzi ama Tanzania daima kuwa forum hii ni biased...Hilo si kweli,forum hii ni HURU ila tutegemee pia mawazo yasiyo HURU cause ndiyo jamii yetu hii.
 
Mangi na wewe bana....
 
Back
Top Bottom