Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
Naona kuna tatiz la wishful thinking na kutoangalia reality ya nchi yetu kwa sasa. Being in JF na kujua mengi mabaya ya CCM hayapelekei CCM kukosa kura!

CCM na JK wao watashika nchi tena hii haina ubishi, unless watanzania hawa hawa ninaowajua watabadilika, na hii lazima external force should be applied,

bado jamani
 
Kwa Tz ambayo mi naifahamu Jk ataendelea kuwepo sana hewani na ataendelea kutusimulia sana mafanikio ya safari zake ughaibuni
 
Hiyo ni siri ya mwenyezi mungu anayeamua uhai wa binadam.
 
Hiyo ni siri ya mwenyezi mungu anayeamua uhai wa binadam.

Kwani kila mkuu wa nchi huwekwa madarakani na Mungu?

No. Siyo kila mkuu wa nchi ana wekwa na Mungu. If that was the case tusinge kua tuna ongelea tunayo ongelea leo na dunia hii ingekua paradiso. But God helps those who help themselves so maybe it's an indication that we have failed to help our saves find good leaders.
 
No. Siyo kila mkuu wa nchi ana wekwa na Mungu. If that was the case tusinge kua tuna ongelea tunayo ongelea leo na dunia hii ingekua paradiso. But God helps those who hemp themselves so maybe it's an indication that we have failed to help our saves find good leaders.

Ni kweli mwanafalsafa.
Nakubali.
Bulesi anasemaje hapo?
 
No. Siyo kila mkuu wa nchi ana wekwa na Mungu. If that was the case tusinge kua tuna ongelea tunayo ongelea leo na dunia hii ingekua paradiso. But God helps those who hemp themselves so maybe it's an indication that we have failed to help our saves find good leaders.

Tuko pamoja mkuu.
 
Wanajamii,

Uchaguzi mkuu wa Tanzania ndo umekaribia.

Hebu tupeane changamoto kidogo hapa.

Ni nani
- unadhani,
- au ungependelea,
- au unatabiri,
- au una uhakika

atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?

Huna ulazima wa kutoa sababu kwanini umemtaja fulani.

Mkuu umesahau CCM wanasema hawana tamaduni ya kumuondowa Raisi baada ya kipindi kimoja?ikiwa wananchi wanataka au hawataki.
 
Wanajamii,

Uchaguzi mkuu wa Tanzania ndo umekaribia.

Hebu tupeane changamoto kidogo hapa.

Ni nani
- unadhani,
- au ungependelea,
- au unatabiri,
- au una uhakika

atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?

Huna ulazima wa kutoa sababu kwanini umemtaja fulani.
Msijisumbue, wala msiwape watu uhodari eti wa kutabiri. Raisi ni mmoja tu, Mtoto wa mjini Dar, Meja, Raisi JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Swali au hoja ya msingi ni Unayependelea kuwa Raisi. Kardinali Pengo na wafuasi wake wa kanisa wangependelea Spika Sitta. Lakini ndio kama unavyojua yuko mbioni kungolewa na kumalizwa kisiasa kama Mrema.
 
Wanajamii,

Uchaguzi mkuu wa Tanzania ndo umekaribia.

Hebu tupeane changamoto kidogo hapa.

Ni nani
- unadhani,
- au ungependelea,
- au unatabiri,
- au una uhakika

atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?

Huna ulazima wa kutoa sababu kwanini umemtaja fulani.

Rais Kikwete bila ubishi lakini binafsi ningependelea awe Salim Salim halafu waziri mkuu awe Pombe Magufuli
 
Rais mwendesha bar..........kwani kuendesha nchi nikama kuendesha biashara tubana
 
Makyao
Kwa kweli kama tukichagua kwa kuangalia mafaniko ya serikali katika miaka mitano iliyopita, basi naona 2010 tuna rais mpya. Lakini kwa kuwa sehemu kubwa ya watanzania ni watu wenye uelewa mdogo na wasiojua thamani ya kura yao, nakuwa na mashaka kuwa 2010 tutakuwa kwenye mzunguko uleule. Nisingependa tuwe na kinachoweza kupatikana 2010 kama uzoefu unavyoonesha.
 
It will be JK i without a doubt but would like it to be Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom