Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

Nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

  • Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)

    Votes: 591 23.9%
  • Willibrod Slaa (CHADEMA)

    Votes: 1,785 72.1%
  • Ibrahim Lipumba (CUF)

    Votes: 89 3.6%
  • Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)

    Votes: 7 0.3%
  • Mutamwega Mugahywa (TLP)

    Votes: 7 0.3%

  • Total voters
    2,475
  • Poll closed .
No. Siyo kila mkuu wa nchi ana wekwa na Mungu. If that was the case tusinge kua tuna ongelea tunayo ongelea leo na dunia hii ingekua paradiso. But God helps those who help themselves so maybe it's an indication that we have failed to help our saves find good leaders.

Viongozi wazuri wasipokua na wasaidizi wazuri ni bure tu, sasa hivi TZ tubadilike ,tuwe wazalendo na wasomi waache ubinafsi na ulimbikizaji wa mali ambazo hauna maana sana. Lakini Kiwkwete ndie raisi kwa kipindi kinachokuja kama mungu ataendelea kumpa uhai
 
Rafiki wangu ,lakini bado muda wake, one daya he will be. Hawezi mikimiki ya uraisi kwa sasa mpeni muda

One day he will be or one day he might be? Ulivyo sema wewe ni kama vile imesha andikwa kwenye nyota kuwa Zitto Kabwe ata kuja kuwa raisi mkuu.
 
Viongozi wazuri wasipokua na wasaidizi wazuri ni bure tu, sasa hivi TZ tubadilike ,tuwe wazalendo na wasomi waache ubinafsi na ulimbikizaji wa mali ambazo hauna maana sana. Lakini Kiwkwete ndie raisi kwa kipindi kinachokuja kama mungu ataendelea kumpa uhai

True mkuu lakini pia utambue kuwa raisi wa Tanzania ana chagua majority ya wasaidizi wake kuanzia mawaziri, katibu wakuu, wakuu wa idara mbali mbali nk. Sasa hapo inaonyesha kabisa ni jukumi la raisi huyo huyo kuchagua wasaidizi wanaofaa badala ya kuangalia chama, itikadi au kutaka ma "yes men/women".
 
Msijisumbue, wala msiwape watu uhodari eti wa kutabiri. Raisi ni mmoja tu, Mtoto wa mjini Dar, Meja, Raisi JAKAYA MRISHO KIKWETE.

Swali au hoja ya msingi ni Unayependelea kuwa Raisi. Kardinali Pengo na wafuasi wake wa kanisa wangependelea Spika Sitta. Lakini ndio kama unavyojua yuko mbioni kungolewa na kumalizwa kisiasa kama Mrema.

Wame kuambia? Au ni kutaka tu kuingiza kitu kisicho kuwepo?
 
One day he will be or one day he might be? Ulivyo sema wewe ni kama vile imesha andikwa kwenye nyota kuwa Zitto Kabwe ata kuja kuwa raisi mkuu.

Huenda alitaka kuonyesha utabiri wake mkuu.
Lakini wewe unamuonaje Zitto?
Is he the ideal?
 
Huenda alitaka kuonyesha utabiri wake mkuu.
Lakini wewe unamuonaje Zitto?
Is he the ideal?

No I don't. The way I see it he is just a popular figure. Do you know who else was very popular? Kikwete. I think he has the potential but as it stands bado simuoni kama presidential material. For now we have to look at 2010 and 2015, both of which are years that Zitto has no chance in hell kuwa raisi. Ifikapo 2020 kama bado yuko on tract ndiyo tuta jua if he is a president in waiting or not. The reason I say this is because mara nyingi unaona watu wakiwa hyped and in the end it causes those people to much pressure to live up and they end up disappointing.
 
Wanajamii,

Uchaguzi mkuu wa Tanzania ndo umekaribia.

Hebu tupeane changamoto kidogo hapa.

Ni nani
- unadhani,
- au ungependelea,
- au unatabiri,
- au una uhakika

atakuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?

Huna ulazima wa kutoa sababu kwanini umemtaja fulani.

Mgombea yoyote atakayesimamishwa na CCM ni lazima tume imtangaze mshindi. Kwa sababu tume ya uchaguzi si huru na inafanya kazi kutokana na maagizo ya CCM.

Kwa kuwa CCM watamsimamisha JK basi ni dhahiri kuwa 2010 hakuna uchaguzi wa rais kwani Tutake tusitake JK atashinda kwa vyoyote.

Tukielekea kwenye wabunge ni yale yale CCM wanajua kupoteza power kwenye muhimili huo kunaweza leta matatizo ya wao kutoendeleza ukiritimba wao na pengine ikachochea mabadiliko makubwa ya katiba, napo pia tume itawatangaza wagombea wa CCM wameshinda uchaguzi na kuwaachia wapinzani viti vichache vya wale wabunge wanaojifanya wanapinga ufisadi ili kuidanganya dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia wasikate misaada.
 
Hisia yangu kubwa ni kwamba Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa rais 2010 licha ya kwamba awamu yake hii ya kwanza imekuwa na misukomisuko mfano kujiuzulu Waziri Mkuu na Mawaziri, kesi za Ufisadi n.k. Natumaini kwamba awamu ya pili, itakuwa ya mafanikio kwani naamini atapenda kuacha legacy nzuri baada ya maneno kuwa mengi sana. Pia uchaguzi mwakani utamsaidia kufahamu vizuri wabaya wake haswa wale ambao wanajifanya kuwa karibu nae.
 
jakaya bado hana upinzania ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,bado wapinzani hawana nguvu ingawaje serikali ya jakaya ni ya mafisadi
 
Rais Reginald Mengi
Makamu Samwel Sitta
Waziri Mkuu Anne Kilango
Waziri wa Fedha Dr. Willbroad Slaa
Waziri M Nje Zitto Kabwe
Waziri M Ndani Shibunda
Waziri wa Viwanda biashara Dr. Harrison Mwakyembe
Waziri wa Mawasiliano Stella Manyanya
Waziri wa Ulinzi Seleli
 
Sifa tatu kubwa kwa rais wa Tanzania mwaka 2010 ni kuwa:
(a) Asiwe amejihusisha na siasa kwa zaidi ya miaka mitano kabla ya mwaka 2010.
(b) Awe mwadilifu, asiwe mwoga au mnafiki.
(d) Aonyeshe kutambua tatizo kubwa linazouia maendelea ya Tanzania wakati kuna raslimali nyingi na atuambie mkakati wake wa kutumia raslimali hizo kuiendeleza nchi.
 
kwa wale wasiotaka kufahamu na wale wababaishaji CCM haitegemei kura ya mtu yoyote hata watanzania wote waipigie kura Chadema basi Raisi ni Jakaya mrisho Kikwete CCM mategemeo ya ni TUME YA UCHAGUZI BASI NEC
 
Jakaya Mrisho Kikwete..na amini atakuwa rais tena...Lakini naomba kuwa sikio la kufa sasa lisikie dawa...alete mabadiliko ya kweli
 
Urais sio lelemama. Muulizeni JK. Yeye alitamani sana urais lakini ona sasa ameshakuwa overpowered na mafisadi. Sidhani kama anastahili second term huyu. Ameshindwa! Akipewa miaka mingine mitano nchi hii ambayo tayari inayumba, itaangamia. Tusiwe na papara ya kupendekeza majina sasa. Kuna waTZ wengi wenye sifa na uwezo wa kuongoza hii nchi. Ila cha msingi ni kwamba tuwe waangalifu rais ajaye asitokane na nguvu ya mafisadi. Najua kuna mafisadi wanajipanga kununua urais.
 
Rais atakuwa mtu mwengine but sio kikwete mana hali kwao sio nzuri kabisa....may be atakuwa lowassa.
 
Back
Top Bottom