Asses your role in the whole messBado tupo. But am not happy nipo tu hata tukiachana Leo nitaona sawa. I don't feel anything. Mambo ni mengi si sababu ya matunzo ya mtoto pekee mi mwenyewe hanitunzi
Sent using Jamii Forums mobile app
SIYO KWELI SHERIA INASEMA WANANDOA WATAGAWANA MALI ZAO AMBAZO WALIZICHUMA WOTE NDANI YA NDOA. KWA MAANA KILA ALICHOKUWA NACHO MWANANDOA KABLA YA NDOA NI MALI YAKE BINAFSI.Najibu hapo mwisho kwenye mchango wa mwanamke. Mke wako ana haki na mali zako hata kama amezikuta.. mchango wake sio lazima uwe pesa..Kama anatekeleza majukumu ya kulea familia na kukutunza huo ni mchango tosha. Haki anayo kama hajakiuka mambo mengine ya mahusiano yenu...
SIO KWELI MALI ZOTE ATABAKI NAZO YULE ALIYEBAKI HAI MPAKA MUNGU AMCHUKUE ndipo watoto /warithi na km kuna mtoto wa nje ya Ndoa Mama atamuangalia pia km aliandikiwa ni nini apate.SIYO KWELI SHERIA INASEMA WANANDOA WATAGAWANA MALI ZAO AMBAZO WALIZICHUMA WOTE NDANI YA NDOA. KWA MAANA KILA ALICHOKUWA NACHO MWANANDOA KABLA YA NDOA NI MALI YAKE BINAFSI.
Asee Brother umeongea point siweI oa mtu ambaye amesha zaa tayari.Sikio la kenge halisikii mpaka litoke damu,
Ushaambiwa usioe singo maza. Wewe ukaleta ujuaji, haya kula jeuri yako sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote wana tabia mbaya.Asee Brother umeongea point siweI oa mtu ambaye amesha zaa tayari.
TrueKuhusu suala la mtoto was kambo kurithi mali za baba mlezi hayo ni maamuzi yako....ukipenda unampa kidogo ila usipopenda bado pia hujafanya kosa. (,Huu no uelewa wangu, naweza kosolewa).
Ningependa kuwashauri vijana wenzangu, inapotokea mmemumimbisha mdada wa watu in vizuri mkachukua maamuzi ya kulea na sio kukimbia majukumu yenu.
Naamini matatizo mengi yanatokana na kuvunja maagizo ya dini na tamaduni zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HayaSIYO KWELI SHERIA INASEMA WANANDOA WATAGAWANA MALI ZAO AMBAZO WALIZICHUMA WOTE NDANI YA NDOA. KWA MAANA KILA ALICHOKUWA NACHO MWANANDOA KABLA YA NDOA NI MALI YAKE BINAFSI.
Ktk dini yetu Huyu mtoto wa kambo si sehemu ya warith wako kisheria,ila mke kama utatangulia kufa wewe yeye atarithi 1/8 ya Mali yako yote.Habari wapendwa?
Tuna watoto 4, ila mtoto mkubwa wa kwanza sio wangu nilioa mke wangu akiwa tayari ana mtoto, watoto watatu ndio nilizaa naye. Huyu mtoto wa kufikia tangu akiwa mdogo miaka 2 nimemuhudumia kila kitu hata shule hajawahi kusoma hizi shule za kata, sasa hivi yupo kidato cha 3.
Wakati namuoa nilimpa masharti sitaki mawasiliano na baba mtoto wako, hata yeye anadai hawezi kuwasiliana naye maana aliikataa mimba. Miaka minne iliyopita niligundua anawasiliana na mzazi mwenzie ikafikia hatua kipindi nipo safari alikuwa akimpeleka mtoto kwa mzazi mwenzie nikaona haina shida maana ni damu yake, ila nikamuuliza baada ya miaka 11 leo hii mtoto amekua mkubwa ndio ameona umuhimu wake?
Alikataa mimba leo unamuona wa maana? Ndani ya miaka 2 naona amebadilika sana amefikia hatua anaanza kumwambia mtoto baba yake ndiye anayemuhudumia kila kitu, huyu mtoto ameanza kupunguza upendo kwangu ni tofauti na zamani.
Kiuchumi MUNGU amenisaidia nipo vizuri nilichofanya mali zangu zote pamoja na pesa nimewaandikishia watoto wangu wa damu, huyu wa kufikia nimeachana nae sijampa chochote licha ya kumlea kwa miaka 12. Je, kuna kosa kisheria? Maana mama yake anataka kwenda mahakamani ili na yeye mtoto wake apate sehemu ya mali.
NB: Katika mali zangu huyu mwanamke hana mchango wowote wakati namuoa kila kitu alikikuta
na Mke akifa mali akagawie ndugu zake au mwingine aliyemuoa?Ktk dini yetu Huyu mtoto wa kambo si sehemu ya warith wako kisheria,ila mke kama utatangulia kufa wewe yeye atarithi 1/8 ya Mali yako yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleza vizuri, lakini kwa Tanzania watoto wote Ni sawa na masuala ya watoto yanaamuliwa na sheria ya mtoto ya 2009 ambayo ilifuta sheria za awali kuhusu mtoto kwa mfano Affiliation Act iliyokuwa inatambua illegitimate child.Hivyo watoto wote ni sawa.Naamini, 'mtoto' anarithi mali za 'mzazi' wake.
'Mzazi'haijalishi ni baba au mama kwa sababu, ikiwa mama yake ataachana na baba yake, basi katika mgawanyo wa mali mama atapata sehemu gake ambayo na "mtoto wa kambo" anaweza kurithi kwa mama yake.
Imekuwa ni desturi kwamba baba ndiye mwenye kurithisha mali za familia na sio mama, na hata kama baba akitangulia mbele za haki basi mali inagawanywa na familia inasambaa (bila kujali kuwa mama yupo), ikiwa ni tofauti na pale inapotokea mama akatangulia mbele za haki kabla ya baba huwa hakuna mgawanyo n.k
Naamini, japo sheria haimtambui mtoto wa kambo moja kwa moja, lakini ana haki ya kupata sehemu ya mali za mzazi wake pekee, kama ni baba au mama, lakini wale watoto waliozaliwa na pande zote mbili wao watarithi katika jumuisho la 'familia'.
Kumbuka, mama ana mchango wake katika mali za familia, kwa mtazamo wangu hata kama utarithisha watoto wa ndoa...najiuliza tu wakati unakutana na huyu mama akiwa na mwanae hakuwa na mali yoyote kiasi cha kutodhani mwanaye anastahili kitu pia?
Nadhani suala lenu linahitaji kuchimbwa vizuri, nami naona kabisa kuna sehemu ya mali atapata mtoto wa kambo kupitia mama yake (hata kama sheria haijataja moja kwa moja).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ulio waandikisha Mali umepima DNA?Habari wapendwa?