Je, mtoto wako angekuwa na umri gani endapo ungepata mimba wakati ukishiriki ngono kwa mara ya kwaza?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kuwa muwazi wewe dada endapo ingetokea ukapata mimba mara yako ya kwanza kugegedwa ungekuwa na mtoto mwenye umri gani mpaka sasa?
 
Mm sio mwanamke, ila nikidandia mada bc mtoto wangu angekuwa bado hajazaliwa mana mpaka sasa nina miaka 37 lkn sijawahi kufanya mapenzi na sina mpango huo mpaka nitakapooa.
Sitaki kufanya mapenzi nje ya ndoa mana ni dhambi kubwa kwa mungu hvy namtunzia mke wangu mtarajiwa.
 
mkubwa hujakua sana kwa sababu umri kama huo kwa mtoto wa kijini anakuwa bado ananyonya
 
Back
Top Bottom