Lets Get Together
JF-Expert Member
- Nov 26, 2019
- 258
- 429
Mara akakuangalia halafu akakaa kimya akaendelea na shughuli zake huwa unamuongeleaje kimoyomoyoHuwa narudia Tena kumsalimu nikiamini kwamba hakusikia.
Unajua mwingine anaweza kuwa Kwenye dimbwi la mawazo,Ni vema kurudia Tena kumsalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia siku nyingine kumsalimu.Mara akakuangalia halafu akakaa kimya akaendelea na shughuli zake huwa unamuongeleaje kimoyomoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikiwa road nasalimia mmoja mmoja nahakikisha hanipiti mtu bila kumsalimia hadi madogo hadi watoto wadogo nawapa hai nasepa zangu...Salamu sio lazima ikiwa hamjuani au huna deal na mtu. Sometimes inakuwa ni usumbufu kama mtu yupo busy. Ina destruct concentration. Namsalimia ninayemjua au ambaye nina ishu nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia siku nyingine kumsalimu.
Mara nyingine anakaa kimya si kwa kupenda, Watu wazima wana Mambo mengi kichwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hiyo Ni kwa watu wazima tu,vijana wenzangu siwezi kuvumilia kumsalimia Tena.
Ila hiyo Ni kwa watu wazima tu,vijana wenzangu siwezi kuvumilia kumsalimia Tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila unamsindikiza na tusi la kimoyo moyoHuwa Nina observe zaidi ya Mara moja ili kujua kama ni bahati mbaya, makusudi au Tabia yake?
Nikijiridhisha kuwa ni makusudi au Tabia yake naachana naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi tusi la chini chini?Nikimsalimu mtu hasipoitika naendelea na mishe zangu kama kawa..sitaki kuumiza kichwa eti kwanini hajaitika au vipi.
Mimi mwenyewe siwezi kumsikiliza mtu aliyenipita Bila kunisalimu.Mimi nikiwa road nasalimia mmoja mmoja nahakikisha hanipiti mtu bila kumsalimia hadi madogo hadi watoto wadogo nawapa hai nasepa zangu...
Ukinipita bila kunipa hai then umefika mbele ukapata tatizo au unataka kuulizia mahali halafu umenipita bila kunipa hai au salamu, aisee nakupa sheet halafu sikusaidiiiiiiiiii...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sawa nilikuwa sijaelewa mtu gan wa moyo huo na hapo unamalizia na tusi juu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] Mimi siwezi aisee, lazma nikupe hai usipo itika kama umesimama mahali au umekaa lazma nikurudie nikuambie kama kuna tatizo mbona salam yangu hujaitikia, wengi sana wananiomba radhi..Mimi mwenyewe siwezi kumsikiliza mtu aliyenipita Bila kunisalimu.
Labda anisalimie kwanza japo mwanzo alinipita.
Nikiwa njiani nina siku na siku,
Siku nikiwa na mood nzuri basi ntasalimia watu wote,nikiwa sina mood nzuri napita kimya
Sent using Jamii Forums mobile app