Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri Iyoo kuruti
Safi sana. Lakimoyo moyo linapunguza machunguMe huwa inategemeana na rika, kama ni mtu mzima najifanya kama naimba imba[emoji6][emoji6] lkn kama ni mshkaji napotezea ila kama jinsia tofaut namtukana kimoyo moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Good girl[emoji7]Huwa narudia Tena kumsalimu nikiamini kwamba hakusikia.
Unajua mwingine anaweza kuwa Kwenye dimbwi la mawazo,Ni vema kurudia Tena kumsalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7][emoji847][emoji3526][emoji120][emoji120]Good girl[emoji7]
Good girl[emoji7]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeipenda hiyoSiyo lazima mtu aitike kwa sauti, hivyo nikijua huyu huwa anaitika kimoyo moyo, next time namsalimia kimoyomoyo pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeipenda hiyo
Nimeipenda hii principle!My/our principal..
First make eye contact then greetings
Hawezi kuacha kuitikia.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hukumuuliza kinachosababisha aitikie kimoyomoyo?Hiyo alinifundisha jamaa mmoja tukiwa chuo. Alikuwa analalamikiwa kutoitika salamu, akajibu kwamba anaitikaga kimoyomoyo.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hukumuuliza kinachosababisha aitikie kimoyomoyo?
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna ka rafiki kangu kAmekondaa huwa kakisalimia mademu wasipoitika kanawatukana[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious, pamoja na unyenyekevu bandia nilionao huwa nashindwa kabisa kusalimia mara mbili, yaani ulimi huwa unakuwa mzito....siwezi kabisaHuwa narudia Tena kumsalimu nikiamini kwamba hakusikia.
Unajua mwingine anaweza kuwa Kwenye dimbwi la mawazo,Ni vema kurudia Tena kumsalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu sio lazima ikiwa hamjuani au huna deal na mtu. Sometimes inakuwa ni usumbufu kama mtu yupo busy. Ina destruct concentration. Namsalimia ninayemjua au ambaye nina ishu nae.
Sent using Jamii Forums mobile app