Je, Mtu asipoitika salamu yako huwa unasema nini?

Je, Mtu asipoitika salamu yako huwa unasema nini?

Wasalamu wakuu.

Kuna baadhi ya watu hawanaga tabia ya kuitika salamu za wengine kutokana na sababu/tabia wanazojua wao.
Ikitokea umemsalimu mtu na ukahisi amesikia Ila hajaitika chini chini huwa unasema nini?

Mimi huwa nasema;
1/ Akiipata tena akafanye sherehe
2/ Kafie mbele
3/ Endelea kujiona wa special
4/ Utaiskilizia kwenye radio next time
5/ .....
6/ .....



View attachment 1327144

Distributed Denial-of-Service
Nasema qumamaco
 
Mara nyingi siitikiwi lakini niligundua Nina sauti ya chini sana kwahiyo nisipoitikiwa najua tatizo ni nini silaumu kesho namsalimia tena

Sehemu ambazo huwa sisalimii makusudi ni sehemu za huduma binafsi kama madukani maana naamini yuko pale kutafuta hela sio salamu

Nikifika nataja mahitaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalamu wakuu.

Kuna baadhi ya watu hawanaga tabia ya kuitika salamu za wengine kutokana na sababu/tabia wanazojua wao.
Ikitokea umemsalimu mtu na ukahisi amesikia Ila hajaitika chini chini huwa unasema nini?

Mimi huwa nasema;
1/ Akiipata tena akafanye sherehe
2/ Kafie mbele
3/ Endelea kujiona wa special
4/ Utaiskilizia kwenye radio next time
5/ .....
6/ .....



View attachment 1327144

Distributed Denial-of-Service
Namsalimia tena na tena

Kwani salamu sh ngapi bwana
 
Mimi nikiwa road nasalimia mmoja mmoja nahakikisha hanipiti mtu bila kumsalimia hadi madogo hadi watoto wadogo nawapa hai nasepa zangu...

Ukinipita bila kunipa hai then umefika mbele ukapata tatizo au unataka kuulizia mahali halafu umenipita bila kunipa hai au salamu, aisee nakupa sheet halafu sikusaidiiiiiiiiii...

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha huo uswahili boy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kijana mwenzangu nikahangaike namna hiyo Mimi?
Kwanza huwa naangalia hata mtu wa kumsalimia ..nikiona huyu Mambo mengi, napita kimya.

Wale wakubwa kwa kweli huwa nawaheshimu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
In short heshima huna ila una pretend maana heshima haina rika. Ukishaanza kubagua vijana na wazee au watu wazima ujue kuna shida.
 
Back
Top Bottom