Je, Mtu asipoitika salamu yako huwa unasema nini?

Je, Mtu asipoitika salamu yako huwa unasema nini?

Haya mambo ya mood hua ni ya kujiendekeza/ujinga ujinga tu,yaani kuna siku una mood ya kutosalimia watu?

Mimi mwenyewe siwezi kumsikiliza mtu aliyenipita Bila kunisalimu.
Labda anisalimie kwanza japo mwanzo alinipita.

Nikiwa njiani nina siku na siku,
Siku nikiwa na mood nzuri basi ntasalimia watu wote,nikiwa sina mood nzuri napita kimya

Sent using Jamii Forums mobile app



dodge
 
Nitamsalimia tena na tena, hata asiponijibu, nitaendelea tu! najua nimesoma kuliko yeye! nina pesa kuliko yeye! nina Mamlaka kuliko yeye, atakuja tu! kwenye kumi na nane zangu!

Halafu sijui nikoje naona watu woote kama wako chini yangu hata uwe na Mali vipi, naona km ninawazidi ki aina ivo natakiwa kuwapa Mwongozo wa Maisha!

Hapo naona km nikiweka kinyongo cha salaam, mimi ndo nina Makosa hata asipo nijibu mara kumi.nitasalimia tu labda nisimuone! Na nikisalimia watu watu, huwaga kiroho safi kinaniburudisha sana!

Kwangu salamu ni Dawa, ujibu usijibu!
 
Unajuaje kama umesalimia kiziwi?
Jiridhishe kwanza kama ni makusudi

Kanuni yangu ni kusalimia watu naowafahamu au interest nao .....kama sikujui sikusalimii...Watanzania tupo Mil 50 nitasalimia wangapi ?

Pili anayemkuta mwenzake ndiye anayeanza salamu....hata unizidi miaka 70 ukipita kibarazani unaniona kabisa usitegemee nikusalimie coz ya kunizidi umri......ukinikuta sehemu anza wewe, nikikukuta sehemu nitaanza mimi bila kujai umri
My Principle !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom