Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

Tatzo huwa mnamtetea kwa nguvu na kwa kupaniki pale anatohitajika kutujibu sisi, saivi umepanick kwa kutetea usichokijua na wala haujawahi kukiona na unajua wazi huwezi kukiona wala kukijua umekomaza fuvu kutetea tu, ona sasa unaniambia mungu wangu anisaidie na hapo nimekuambia siamini katika hizi mambo, unaniambia mara mizimu, na hapo nimekwambia mizimu mimi siijui yaaani kiufupi unalazimisha majibu unayoyataka wewe, na kwa namna hii hautaweza kujifunza chochote kuhusu ukweli na badala yake utaishia kushikilia propaganda za wazungu bila kujiuliza maswali
 
Mheshimiwa Vitabu vya Mungu ni kila unachokiona katika mazingira, vile vitu ambavyo mwanadamu hakutia mkono wake. Vitabu vile ni vigumu sana kusoma. Ukitaka kujua ugumu wa kusoma vitabu vya Mungu tafuta katika majirani zako watu waungaji katika nyumba mia moja wana degree zozote za vitabu vya Mungu. Vile ambavyo imeambiwa vimetoka mbinguni hivyo ni vyetu wenyewe. Vitabu vya Mungu halikuandikwa popote na viko kila mahali. Shida uvivu wetu kuvisoma, pengine ni kwa sababu kama nilivyosema ni vigumu sana kusoma.Ujuzi wa kila kitu imetapakaa hapa hapa. Yahitajika bidii kuuona ujuzi huo. Vitabu vya Mungu ni vya kanuni tupu! Mfano: ukila kinyesi lazima upate kipindupindu, ukimeza amoeba lazima uumwe tumbo, ikitupa kitu juu lazima kirudi chini.Ukitaka kisirudi ni lazima irudi kwenye kitabu cha Mungu ujue kanuni yake. Kwa hiyo, Mungu hakuwa na haja ya kuandika vitu/ mawazo ya kubadilika badilika kutegemea msomaji. Kama alivyo umba kila kitu kwa ukamilifu katupa vitabu visivyobadilika.Kwa uvivu wetu tumedhani Mungu anafikiria kama sisi, tukafunga uongo wetu na kudai ni Mungu mwenyewe kasema.Hii ni mtu mvivu kusoma vitabu vya Mungu tu ndiye anayeweza kuamini.
 
Wee nae nahisi huna akili kwenye ilo bichwa lako mungu ndio nani sasa unashindwa hata kujua jinsi Mungu inavyoandikwa Mungu lazima ianzie kwa herufi kubwa iyo ndogo ni ya mizimu shibaamit zako afya ya akili sikushangaiii
 
Kwahiyo Mungu hakuwepo kabla ya muda sio? , Mungu ana Mwanzo?
Mkuu naona haujanielewa, hauwezi kusema kabla ya muda, wakati muda haukuwepo, maneno kabla, baada n.k yametokana na muda, sasa hauwezi kuuliza nini kilikuwepo kabla ya muda, swali hili halina mantiki
 
Mkuu naona haujanielewa, hauwezi kusema kabla ya muda, wakati muda haukuwepo, maneno kabla, baada n.k yametokana na muda, sasa hauwezi kuuliza nini kilikuwepo kabla ya muda, swali hili halina mantiki
Then futa jibu lako la awali
 
Then futa jibu lako la awali
Stephen Hawking aliandika katika kitabu chake cha The Grand Design kwamba huenda Mungu hakuhusika katika uumbaji wa ulimwengu kwa maana kwa theory ya cause and effect, alipata wapi muda wa kuumba wakati hapakuwa na muda? (Muda ulianza na big bang)

Maoni yangu: Kuna multiple dimension ya muda, yaani muda sio one dimension kama tunavyodhani, hivyo huenda Mungu anaishi katika dimension tofauti.
 
Wee nae nahisi huna akili kwenye ilo bichwa lako mungu ndio nani sasa unashindwa hata kujua jinsi Mungu inavyoandikwa Mungu lazima ianzie kwa herufi kubwa iyo ndogo ni ya mizimu shibaamit zako afya ya akili sikushangaiii
Hiyo mi mizimu ni nini? Inafananaje? Then nijibu akili ni nini? Then tutaendelea kujadiliana
 
Hongera broo kwa uwezo wako mkubwa wa kufikiria kuwa

Binaadamu alijiumba mwenyewe kisha akihisi kuwa ajajiumba mwenyewe bali yupo aliye muumba
Wewe si ni mwanadamu? Unaweza kutuambia uliumbwa umbwaje?? Kwa material gani?
Maana sisi tuvyojua tumezaliwa
 
Kamba live kabisaaa,,
Kwamba sisi ndo tulikuwa kama maroboti yao? Yaani vitendea kazi?[emoji2]
 
Kamba live kabisaaa,,
Kwamba sisi ndo tulikuwa kama maroboti yao? Yaani vitendea kazi?[emoji2]
Kama ulivyo wewe leo ulivyo Robot la CCM na wao ndio hivyo hivyo toka kale
kuna tofauti gani Kati yao na yako?
Fikiria nje ya box halloo😁😁
 
Asili ya Mungu ni katika Spiritual Dimension. Ingawa yeye ni omnipresent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…