Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Umasikini ni wa kujitakia, wala sio Mungu, jiulize katika nchi yako kuna mito na maziwa, kuna ardhi yenye rutuba, kuna madini, kuna misitu, wanyama wa kila aina ambao Mungu amewaumba, hali ya hewa nzuri hivyo umevitumiaje katika kukutajirisha?Wakuu kuna swali hili mara zote linanitatiza aisee je kuna watu mungu ameumba kuwa maskini? Na kuna wengine ameumba kuwa matajiri? Na kama hivyo kwanini? Nchi nyingi za kiafrika watu wengi ni masikini kulinganisha na bara la ulaya,America na Asia.....
Upo sahihi Kbsa mkuuUmasikini ni wa kujitakia, wala sio Mungu, jiulize katika nchi yako kuna mito na maziwa, kuna ardhi yenye rutuba, kuna madini, kuna misitu, wanyama wa kila aina ambao Mungu amewaumba, hali ya hewa nzuri hivyo umevitumiaje katika kukutajirisha?
umasikini unatengenezwa na unyonyaji, upatikanaji hafifu wa maarifa ya kumuwezesha mtu kutumia rasilimali zilizomzunguka. Mungu akamweka Admu katika bustani akamwambia ailime na kuitunza, muda mwingine umasikini inaletwa na uvivu
Mbona jibu ni rahisi tu AKILI
Ila swali ninalojiuliza hivi Waafrika tumepewa akili kidogo au hatutumii akili?
Maana Mungu kama ameweka principles actions zako ndio zita determine destination yako
Umasikini ni wa kujitakia, wala sio Mungu, jiulize katika nchi yako kuna mito na maziwa, kuna ardhi yenye rutuba, kuna madini, kuna misitu, wanyama wa kila aina ambao Mungu amewaumba, hali ya hewa nzuri hivyo umevitumiaje katika kukutajirisha?
umasikini unatengenezwa na unyonyaji, upatikanaji hafifu wa maarifa ya kumuwezesha mtu kutumia rasilimali zilizomzunguka. Mungu akamweka Admu katika bustani akamwambia ailime na kuitunza, muda mwingine umasikini inaletwa na uvivu
Kwani hayo maarifa Mungu ndio anatoa?, Maono Mungu anatoa? Mungu alimwambia Adamu utailima ardhi nayo itakupa mazao, sasa kama huilimi unataka mazao yatoke wapi? hutaki kuvua samaki unataka Mungu akuletee nyavu? maarifa yapo ni jukumu lako kutafuta. Ndio maana wengine wako Bize kufanya utafiti juu ya upatikanaji wa madini, mafuta ambavyo vyote viko chini ya ardhi, tena katika ardhi zetuUpatikanaji hafifu wa maarifa ya kumuwezesha mtu kutumia rasilimali kutoka wapi? Kuzaliwa nayo? Chuo? Mapokeo? Miujiza? Maono? Na kwa nini ni hafifu kwa mwafrika tu?
Kwani hayo maarifa Mungu ndio anatoa?, Maono Mungu anatoa? Mungu alimwambia Adamu utailima ardhi nayo itakupa mazao, sasa kama huilimi unataka mazao yatoke wapi? hutaki kuvua samaki unataka Mungu akuletee nyavu? maarifa yapo ni jukumu lako kutafuta. Ndio maana wengine wako Bize kufanya utafiti juu ya upatikanaji wa madini, mafuta ambavyo vyote viko chini ya ardhi, tena katika ardhi zetu
.Mbona jibu ni rahisi tu AKILI
Ila swali ninalojiuliza hivi Waafrika tumepewa akili kidogo au hatutumii akili?
Maana Mungu kama ameweka principles actions zako ndio zita determine destination yako
Maarifa yanatafutwa, kwa mfano Tanzania ilitoa wanafunzi wakajifunza mambo ya petrol na gesi, huo ujuzi walioupata huko umetumika wapi? huwa kuna Watu wanaenda India na nchi zingine kupata ujuzi wakirudi wanafanya nini au wanakuwa machawa?Ok sawa kumbe ni Mungu basi sawa, so aliwabagua weusi akawanyima hayo maarifa akawapa wazungu? I rest my case.
Then utafiti na Mungu wapi na wapi?
Maarifa yanatafutwa, kwa mfano Tanzania ilitoa wanafunzi wakajifunza mambo ya petrol na gesi, huo ujuzi walioupata huko umetumika wapi? huwa kuna Watu wanaenda India na nchi zingine kupata ujuzi wakirudi wanafanya nini au wanakuwa machawa?
Nadhani tumeelewana, sisi waafrika ni wazembe kwenye kutafuta maarifa na kuyatumia hayo maarifa yatupe matokeo, Kama ni raslimali tunazo za kutosha, madini, mafuta, mito,maziwa na bahari, ardhi nzuri zenye rutuba, wanyama wa kutosha lakini sisi ndio masikini vitu vingine tunanunua kutoka kwenye nchi za jangwani. Hapo utasema Mungu ana ubaguzi? basi kama Mungu anaupendeleo basi katupendelea sisi waafrika, yaani tunaweza kujiita mbeleko Fc lakini tumeshindwa kubebekaKwa hiyo sio kutoka kwa mungu? "Yanatafutwa" na matumizi yake ni subject ya uelewa, maana wapo wengi wamepewa maarifa na hawana hata uwezo wa kuyatumia. Watu weusi tuna shida ya kuyatafuta maarifa na kuyaamini kwanza, ukishaamini una maarifa ndio unapata confidence na uwezo wa kuyatumia. Sio ajabu kabisa kwa mtu mweusi kufanya utafiti wake na baadaye akaukana, yani haamini andiko lake mwenyewe so hapo ndio shida inapoanzia. Msomi aliyefanya tafiti hadi zikampa Phd bado haziamini kama zinafanya kazi then anarudi kufanya biashara ya kiosk cha stationery kwa kuwa mmachinga anauza, so anaamini kwnye mauzo ya kimachinga kuliko high level business reserach aliyofanya mwenyewe.
Wenzetu maarifa wanayapata vyuoni kwa kusoma sana, kupractice na kufanya tafiti na wanafanya impelementation ya tafiti zao hadi zinaunda biashara/taasisi, body of knowledge ambayo wanatumia kubadilisha maisha yao, sio kwa kusubiri maarifa wapewe na mungu (wa kufikirika) ingakua maarifa yanatoka kwake, leo hii kwa idadi na makanisha, vituo vya maombi, waombaji, misikiti, nk iliyopo Africa tungekua tunaongoza kwa maarifa na kila aina ya maendeleo badala yake tunaomba sana na kusubiri miujiza ishuke toka kwa tuliyemuomba! Hii ni moja ya sababu kubwa ya weusi (sio waafrika tu) kuwa masikini sehemu zote za dunia.
Nadhani tumeelewana, sisi waafrika ni wazembe kwenye kutafuta maarifa na kuyatumia hayo maarifa yatupe matokeo, Kama ni raslimali tunazo za kutosha, madini, mafuta, mito,maziwa na bahari, ardhi nzuri zenye rutuba, wanyama wa kutosha lakini sisi ndio masikini vitu vingine tunanunua kutoka kwenye nchi za jangwani. Hapo utasema Mungu ana ubaguzi? basi kama Mungu anaupendeleo basi katupendelea sisi waafrika, yaani tunaweza kujiita mbeleko Fc lakini tumeshindwa kubebeka
Ubarikiwe sanaYes tunavunja na kuua viwanda tulivyoachiwa na mkoloni na kugeuza makanisa then tunafanya maombi ndani ya hayo makanisa tupate ajira! Serikali zinaua kila private sector inapoanza kukua halafu inataka watu wake wapate ajira, na haina uwezo wa kuajiri watu wote, weusi tunawachukia matajiri na kuwafanyia fitna muda wote na sabotage ya taasisi zinazotuajiri wakati ndio wanaotuajiri kwa wingi kuliko serikali, yani muda wote tupo vice versa.
Akina Galileo, Newton, Archimedes, Faraday n.k. hawakufanya maombi wala hawakuenda vyuo vikuu vyenye majina makubwa kufanya inventions walizofanya na michango yao kwa maendeleo ya dunia yanaishi hadi leo! Weusi tumechangia nini hadi sasa kusukuma dunia mbele? So shida ni mentality kabla ya mengine yote
Chai HIYO.Mungu aliumba
Kichwa na mkia
Slave na master
Mkombozi na mkombolewa
Kiongozi wa dini na muumini
So kwa maana iyo maskini na tajiri ni moja ya uumbaji wake
Ata ukifuatilia ktk bible kuna mitume na manabii waliokua
Maskini na kuna mitume na manabii walokua matajiri