Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
-
- #21
KweliNi kweli Mungu amempangia kila mtu maisha yake kuanzia mwanzo hadi mwisho, ila sio lazima kila kitu kifanyike kama alivyokupangia.
Ili kukamilisha kila ambacho Mungu alikupangia, Mungu alimuumba mwanadamu kufanya mambo yake yote kwa kushirikiana na yeye(kwa utaratibu wa Mungu mwenyewe), na Kitu Kizuri(Wakati mwingine Kibaya) ni kwamba Mungu alimpa mwanadamu uhuru wa kuamua, hata kama ataamua kinyume na mipango ya Mungu.
Kuhusu kwenda Mbinguni au Motoni ni jukumu lako mwenyewe based na maamuzi unayofanya maana lipo ndani ya uwezo wako.
Majibu:
1. Mungu anajua unauwezo wa kwenda mbinguni na anataka hivyo. Kwenda motoni means ume fail.
2. Yes, future inaweza kubadilika, inategemea umekaa karibu au mbali kiasi gani na Muumba mwenyewe.
Ahahaha mkuu ebu kuwa na staha bana mi hayo mambo sina kabisaNdio maana we dg kutwa kucha unavunja nazi usiku mbele ya ile ofisi yako ya playstation.
Ahahaha mi nacheza nao sana sema mimi kwa sasa nacheza na akili za mishangazi kubabekNa dini ni biashara ya kinyonyaji kwelikweli. Hebu angalia jinsi watu watu masikini wanavyotoa pesa kwa wavaa suti kanisani na misikitini.
Duniani njia ya haraka ya kufanikiwa ni kucheza na akili za watu masikini.
Kobazi mbona vurugu mapema yote hiiKabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
Uwongo mtupu cc min -me 👆Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
Kobazi wewe na ukoo wako woteKobazi mbona vurugu mapema yote hii
Wewe hujitambuwiUwongo mtupu cc min -me 👆
Unajitambua wewe unayelala na mama zakoWewe hujitambuwi
Nitakuotesha ndoto nyingine mbaya zaidi ya ileKobazi wewe na ukoo wako wote
Yaishe mkuuu 😂😂😂😂Nitakuotesha ndoto nyingine mbaya zaidi ya ile
Kwa hiyo yeye mwenyewe hajui mwisho wako ni upi(kulingana na swali la mleta maada)Mungu amekupa uhuru, uchague motoni au uzima wa milele, uamuzi upo mikononi mwako.
Kwa tafsiri hiyo basi itakua hajui mwisho wako upoje.Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
Tafasiri zingine zinazingua sanaHuwa haya mambo ya imani ni ya kijnga sana now nimeacha hata kuyajadili bwashee
Kwa nini mnasema Peponi?Na mtu anaweza kuishi maisha yake yote anafanya matendo ya watu wa motoni na ikabaki kidogo tu umri wake kuisha akabadilika na kufanya matendo ya watu wa peponi na kuingia peponi
Ndio maana sisi waislamu tunahimizwa sana kuomba mwisho mwema,na vile vile haifai kumhukumu mtu fulani kwamba ataingia motoni hata kama matendo yake ni mabaya,kwasababu hujui huenda mwisho wa siku akatubu na kufanya mema na kuingia peponi
Yeye ni mwanzo na mwisho, yeye ndiye aliyekuumba, hawezi kushindwa kujua mwisho wako, isipokuwa amekupa uhuru wa kuchagua giza au nuru, uende peponi au jehanamuKwa hiyo yeye mwenyewe hajui mwisho wako ni upi(kulingana na swali la mleta maada)