Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Hili swali lako katika falsafa ya dini linaingia katika mada ya God's foreknowledge and human freewill.Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
hapana Mungu ahathiriwi na muda anaona mwisho toka mwanzo ko anajua yupi ataenda na yupi haendi maana ashaona mbele kabla hta ya dunia kuweko.Kwahiyo kuna wale walioandikiwa peponi, hata wafanye maasi gani wao njia ni nyeupe peee.
Na kuna walioandikiwa motoni hata watende mema buku, kosa moja wanakula kiberiti sio??
Hamna mkuu mimi silogi watu pasi kuwa na sababuYaishe mkuuu 😂😂😂😂
Utani utani unakuta mtu anakuloga humu
Sasa mkuu kuna haja gani ya kutenda mema ilhali mwisho wa siku si ajabu ukaenda motoni pamoja na wema wako?hapana Mungu ahathiriwi na muda anaona mwisho toka mwanzo ko anajua yupi ataenda na yupi haendi maana ashaona mbele kabla hta ya dunia kuweko.
Kama huyo Mungu anajua kwamba utaenda jehanamu, Je una uhuru wa kubadilisha destiny yako ukachagua nuru na mwishowe ukaenda peponi?Yeye ni mwanzo na mwisho, yeye ndiye aliyekuumba, hawezi kushindwa kujua mwisho wako, isipokuwa amekupa uhuru wa kuchagua giza au nuru, uende peponi au jehanamu
Kama huyo Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba dunia itakuja kuwa na uovu adhibiti na kuzuia maovu yasiwepo toka mwanzoni?hapana Mungu ahathiriwi na muda anaona mwisho toka mwanzo ko anajua yupi ataenda na yupi haendi maana ashaona mbele kabla hta ya dunia kuweko.
Aliyekuumba na aliyeumba kila kitu unachokiona, atashindwaje kujua jambo dogo namna hiiKama huyo Mungu anajua kwamba utaenda jehanamu, Je una uhuru wa kubadilisha destiny yako ukachagua nuru na mwishowe ukaenda peponi?
Kama utaweza kubadilisha destiny yako kwa kuchagua nuru na hatimaye ukaenda peponi, Huoni kwamba huyo Mungu alikuwa hajui kwamba utaenda peponi?
Kama huwezi kubadilisha destiny yako, Huoni kwamba huna uhuru wa kuchagua nuru au giza?
Kama mwanzoni Mungu alijua utaenda jehanamu, Wewe ukabadilika ukachagua nuru, hatimaye unaenda peponi. Huoni kwamba huyo Mungu hajui destiny yako?
Huoni contradiction hapa kati ya God's foreknowledge and human freewill?
Kama anajua basi wewe huna uhuru wa kwenda tofauti na anavyojua.Aliyekuumba na aliyeumba kila kitu unachokiona, atashindwaje kujua jambo dogo namna hii
Pepo ipo na moto upoKwa nini mnasema Peponi?
Na Kama mtu anafanya Dhambi akifa anaenda kuteswa huko kuzimu
Alafu na wale ambao hawajampokea Yesu na ambao hawajamuamini
ningekujibu vizur tu lkn tatizo ushahitimisha na kuchukua msimamo.Kama huyo Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba dunia itakuja kuwa na uovu adhibiti na kuzuia maovu yasiwepo toka mwanzoni?
Kama huyo Mungu alijua na anajua kila kitu tangu mwanzoni, Kwa nini aliacha dunia iwe na maovu?
Je alidhamiria dunia iwe na maovu?
Je alifanya makusudi kuacha dunia iwe na maovu?
Au hakujua kwamba dunia itakuja kuwa na uovu?
Kama hakujua, Basi huyo Mungu hajui yote tangu mwanzo.
Kama alijua, Basi huyo Mungu ana makusudi kwa kuacha dunia iwe na maovu.
Na Mungu huyo hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo maana hajielewi kabisa.
kama itaenda motoni n sababu una dhambi ndo zitakazokupeleka uko na s vingnevyo.Sasa mkuu kuna haja gani ya kutenda mema ilhali mwisho wa siku si ajabu ukaenda motoni pamoja na wema wako?
Mbona unachanganya sasa mkuu, Mungu si anajua mwisho wako ni motoni au mbinguni? Dhambi inaingiaje hapo na ulishachapwa muhuli wa motoni au mbinguni??kama itaenda motoni n sababu una dhambi ndo zitakazokupeleka uko na s vingnevyo.
Expert wangu ni hivi, Mwenyezi Mungu hajakuhumia ila anajua mwisho wa matendo yako na nyendo zako,anajua mwisho wa siku utaishia wapiMbona unachanganya sasa mkuu, Mungu si anajua mwisho wako ni motoni au mbinguni? Dhambi inaingiaje hapo na ulishachapwa muhuli wa motoni au mbinguni??
maisha unayoish sasa ivi na wakat ujao Mungu alishayaona ko ww unaishi hujui ya mbele YEYE anayajua alishayaona na akayarekodiMbona unachanganya sasa mkuu, Mungu si anajua mwisho wako ni motoni au mbinguni? Dhambi inaingiaje hapo na ulishachapwa muhuli wa motoni au mbinguni??
Kama Mungu anajua mwisho wako, Je wewe unaweza kwenda kinyume na vile anavyojua Mungu?Expert wangu ni hivi, Mwenyezi Mungu hajakuhumia ila anajua mwisho wa matendo yako na nyendo zako,anajua mwisho wa siku utaishia wapi
Ni kama vile unavyojua mtu ukimuelekeza aende nyumbani kwako lazima ataingia kwako kupitia mlangoni
Kwahiyo ramani ya kwenda peponi au motoni ni uamuzi wako
Umasikini ni laana ukiwa na dini unakuaje masikini sasaNdio mana mimi hata sifatilii haya mambo kivilee shekhe wangu ...
Aaaah kikubwa tufanye kazi kwa bidii umri unakwenda, kujadili dini sana kutaleta mushkeri..
Dini ni umaskini... Kuweni makini...
Dini ya kweli ni umaskini ila dini janja janja utapata mapesa mengi ila ukitaka uwende na dini A to Z wallah utakufa maskini
Kwa hivyo basi, Hakuna freewill ya mwanadamu kuchagua mema au mabaya.maisha unayoish sasa ivi na wakat ujao Mungu alishayaona ko ww unaishi hujui ya mbele YEYE anayajua alishayaona na akayarekodi
Wewe hii nadharia umeitoa wapi??maisha unayoish sasa ivi na wakat ujao Mungu alishayaona ko ww unaishi hujui ya mbele YEYE anayajua alishayaona na akayarekodi
Anajua mwisho wa matendo yangu??Expert wangu ni hivi, Mwenyezi Mungu hajakuhumia ila anajua mwisho wa matendo yako na nyendo zako,anajua mwisho wa siku utaishia wapi
Ni kama vile unavyojua mtu ukimuelekeza aende nyumbani kwako lazima ataingia kwako kupitia mlangoni
Kwahiyo ramani ya kwenda peponi au motoni ni uamuzi wako