Yaani kwa lugha rahisi hii ni Squid game ya kimungu.Hapo kuna mawili:
1. Mungu anajua kila kitu mwanzo mwisho. Kwahiyo anajua kabisa huyu atakuja kuishia motoni, na huyu atakuja kwenda mbinguni. Kama hivyo ndivyo, manake kuna watu wameumbwa specifically kwaajili ya kuja kuchomwa moto wapende wasipende!
2. Mungu hajui nani ataenda mbinguni wala nani ataenda motoni. Itategemea na matendo ya mtu mwenyewe. Kama hivyo ndivyo, manake huyo hawezi kuwa Mungu maana sifa mojawapo ya mungu ni kujua kila kitu!
Huyo Allah Alishindwaje kuumba binadamu wote kwa usawa wote waende paradise?mungu Allah yeye kashapangia watu kabla hawajaziliwa
...Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
🤣 🤣Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
Motoni wataenda wale wasiomwamini Yesu na kuishi maisha matakatifuKama huo ni ukweli bhasi Wakristo na waislamu wote mtaenda motoni kupitia kitabu cha kila mmoja wenu.
Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?Motoni wataenda wale wasiomwamini Yesu na kuishi maisha matakatifu
Hakuna Mungu mwingi wa Rehema, upendo na huruma.Dini ya Wayahudi, wao hawaamini moto wala peponi, wanaamini Mungu wao atakuja Duniani kufufua watu wote na kutawala Dunia kutokea Jerusalem
Mungu kuumba binadamu akampa free will alafu tena amchome kwa kufanya anavyotaka, huo ni uonevu na kukosa hekima, Mungu ni mwingi wa Rehema, upendo na huruma
Huyo Allah ana ukichaa.Allah anadai kaumba watu weusi Kwa ajili ya kwenda motoni
Muhammad said: Allah created Adam when He had to create him and He struck his right shoulder and there emitted from it white offspring as if they were white ants. He struck his left shoulder and there emitted from it the black offspring as if they were charcoal. He then said (to those who had been emitted) from the right (shoulder): For Paradise and I do not mind. Then He said to those (who had been emitted) from his left shoulder: They are for Hell and I do not mind. Al-Tirmidhi Hadith - 38
Huu ni utaratibu wa Mungu mwenyewe, kama alivyoweka utaratibu wa kuzaliwa na kufa, upende usipende utaacha hii dunia. Kazi yako sasa ni kuandaa mazingira ya maisha yako Mengine baada ya haya.Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?
Huyo Yesu asipoaminiwa anapungukiwa nini?
Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote?
HahaHuo siyo uhuru, hiyo ni Squid game ambapo Mastergame ni Mungu!!
Kuna makosa yalifanyikaKwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kuto kumtii?
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kutomuamini?
Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote?
Kuna makosa yalifanyikaHuyo Mungu kama hapendi hata mtu mmoja apotee, Je Alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi?
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwamini siku zote ili waishi milele?
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye uwezo kuzikataa rehema zake?
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao zikubali rehema zake siku zote na wakati wote?
Huyo Mungu anashindwaje kufanya binadamu wote watubu dhambi ili wote twende mbinguni?
Yeye si ni Mungu muweza wa vyote?
Kwa nini huyo Mungu anaacha watu wengine waende mbinguni na wengine motoni?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Mungu Alishindwaje kuumba dunia isiyo na dhambi?
Mwanzo 3;22Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwamini siku zote ili waishi milele?
NI kwamba Mungu ndio ana jua yote pamoja na mwisho wako utakuwaje eiher mbinguni au Motoni. Ila sio kwamba amekupangangia kwenda sehemu yoyote kati ya hizo. Huo ni uchaguzi wako ila ni kwamba ameshajua utachagua nini.Kwahiyo kuna wale walioandikiwa peponi, hata wafanye maasi gani wao njia ni nyeupe peee.
Na kuna walioandikiwa motoni hata watende mema buku, kosa moja wanakula kiberiti sio??
HusomekiWhy alikuumba hili uteseke
Na wasio ifuata Qur'an hivyo - wote.Motoni wataenda wale wasiomwamini Yesu na kuishi maisha matakatifu
Sasa anatuma manabii wa nini kama anajua watu wake ni wepi??NI kwamba Mungu ndio ana jua yote pamoja na mwisho wako utakuwaje eiher mbinguni au Motoni. Ila sio kwamba amekupangangia kwenda sehemu yoyote kati ya hizo. Huo ni uchaguzi wako ila ni kwamba ameshajua utachagua nini.
Anajua kila kitu..acha ukafiliKwa tafsiri hiyo basi itakua hajui mwisho wako upoje.
Maana unaweza kubadilika dakika za jioooni.