Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

Huu ni utaratibu wa Mungu mwenyewe, kama alivyoweka utaratibu wa kuzaliwa na kufa, upende usipende utaacha hii dunia. Kazi yako sasa ni kuandaa mazingira ya maisha yako Mengine baada ya haya.
Huyo Mungu hayupo.

Ni wewe tu unahangaika kumuelezea hapa.

Hakuna Mungu aliyeweka utaratibu wowote ule.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ani prove wrong.
 
Mungu wa Biblia ni adui wa maarifa.

Badala ya kumpa maarifa mwanadamu anaweka maarifa hayo kwenye miti.

Mungu wa Biblia ni adui wa mwanadamu, Badala ya kuweka uzima wa milele kwenye mwili wa mwanadamu, Yeye anaweka kwenye matunda ya mti..!!

Mungu wa Biblia ana ukichaa na uwendawazimu.

Mungu wa namna hii anastahili kufurushwa huko alipo maana hajielewi kabisa.
 
🤣 🤣

Sasa huyu Mungu atakuwa kichaa atakumbuje hili uende motoni at the same time atake ujirekebishe kwa nini asitumie uwezo wake kukurekebisha, na ujirekebisha ni sawa unaenda kinyume na mipango yake
Huu ni mtihani choice is yours..
Ushawahi jiuliza kwanini ulitahiriwa..
 
Aseeh! Huyo Allah anahitaji kupelekwa Mirembe maana ana ukichaa na uwendawazimu.
 
Anaitwa Yaldabaoth
 
Huyo Mungu hayupo.

Ni wewe tu unahangaika kumuelezea hapa.

Hakuna Mungu aliyeweka utaratibu wowote ule.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe ani prove wrong.
Mungu akurehemu tu, unaongea kama mtu aliyechanganyikiwa vile
 
Na wasio ifuata Qur'an hivyo - wote.

Kwanza unajua maana ya utakatifu?
Wewe ni mtakatifu?
Unajuaje kama wewe ni mtakatifu?
Kuna ulazima gani wa kuwa mtakatifu?
Ndio, Utakatifu ni kuishi vile Mungu anakutaka uishi, kujiepusha na maisha ya dhambi.
 
Mungu akurehemu tu, unaongea kama mtu aliyechanganyikiwa vile
Huyo Mungu ana rehemu nini?

Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wanao changanyikiwa?

Huyo Mungu Alishindwaje kuumba binadamu wasio changanyikiwa?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?

Huyo Mungu ndio kachanganyikiwa.
 
Mungu na shetani ni concept katika harakati za wanafalsafa walioanzisha dini ili kunogesha content .
 
Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?

Na Future inaweza ikabadilika?
Ndio anajuwa according to wagatalia 1:15 na ukitaka kuamini utagundua mtu kama Yusuf Mfalme David tokea utotoni walitabiliwa ukuu na wakawa
 
Ndio anajuwa according to wagatalia 1:15 na ukitaka kuamini utagundua mtu kama Yusuf Mfalme David tokea utotoni walitabiliwa ukuu na wakawa
Kweli
Na vp kuhus sk hiz watu wengi hawajui
Mungu alichokusudia
Na hawathamini walichopewa na Mungu
 
Ndio, Utakatifu ni kuishi vile Mungu anakutaka uishi, kujiepusha na maisha ya dhambi.
Mungu gani? Yupi kati ya wale wanaodaiwa kuwa wa kweli?

Wa Qur’an? wa Biblia? wa Bhagavad Gita? au wa Torah?

Na je, anahitaji utiifu au ufahamu?

Dhambi ni nini?
Ni kosa dhidi ya Mungu au ni kosa dhidi ya binadamu?

Kama Mungu hajathibitishwa, dhambi ni kosa mbele ya nani?

Na je, mtu asiye na dini lakini anaishi maisha safi naye ana dhambi?
 
Ndio anajuwa according to wagatalia 1:15 na ukitaka kuamini utagundua mtu kama Yusuf Mfalme David tokea utotoni walitabiliwa ukuu na wakawa
Kwanini mtu kama David alitabiriwa ukuu lakini mtu kama yuda alitabiriwa kufa kwa kupasuka pasuka matumbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…