Wewe unajua Mungu alichokusudia?Kweli
Na vp kuhus sk hiz watu wengi hawajui
Mungu alichokusudia
Na hawathamini walichopewa na Mungu
Future Yako Ina pande 2 ipo ambayo Mungu aliiandaa kwako Toka Tumboni...!Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
Kama Mungu ni mjuzi wa yote, Je alikua anajua Lucifer atakuja kuasi kabla hajamuumba kabisa?Future Yako Ina pande 2 ipo ambayo Mungu aliiandaa kwako Toka Tumboni...!
Alikuandalia mipango mizuri, Ndoto nzuri na Hatima safi, uagalizi wake n.k.
Hafu ipo mipango ya Shetani kazi yake ni kuharibu Kila plan ya Mungu, huku akikupiga mbaya usimfate Mungu.
Picha linaanza mtoto anazaliwa tu anapelekwa Kwa Mganga, kukabidhiwa Kwa Mizimu, hapo unafata mipango ya Shetani, then mambo yasipoenda lawama zote Kwa Mungu.
Mungu alijua kuwa Shetani atakuja kuasi....! 1,000% alijua, coz ndiyo yeye aliumba Kila kitu, ukimtoa Binadamu, vingine alitamka tu vikawa.Kama Mungu ni mjuzi wa yote, Je alikua anajua Lucifer atakuja kuasi kabla hajamuumba kabisa?
Kama alikua anajua, Je shetani ni mpango wa Mungu?
Je, Mungu ndiyo chanzo cha uovu?
Hivyo Mungu alimuumba shetani ili aje kutesa na kunyanyasa wanadamu huku yeye kabaki mbinguni anacheki game tu.Mungu alijua kuwa Shetani atakuja kuasi....! 1,000% alijua, coz ndiyo yeye aliumba Kila kitu, ukimtoa Binadamu, vingine alitamka tu vikawa.
Wewe unajua Mungu alichokusudia?
.
Amatuumba kwanza wewe hapo ulipoKwanza unajuaje kama Mungu yupo?
Unauthibitisho gani?
VipawaMungu amekupa nini?
Umejuaje kama Mungu amekupa?
Ah unafaa ukutane live umuulize hayo MaswalHivyo Mungu alimuumba shetani ili aje kutesa na kunyanyasa wanadamu huku yeye kabaki mbinguni anacheki game tu.
Huo siyo upendo tena, hiyo ni system.
Sasa muacheni Shetani afanye kazi aliyopewa na boss wake.
Je, unamlaumu Shetani au boss wake aliyemtuma kuchezesha Squidgame?
Kama Mungu anajua Future yako
Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni?
Na Future inaweza ikabadilika?
Najibu kutokana na ufahamu wa dini yangu ya kiislamu,nasema hivi mapema kwasababu huenda ukristo ukawa na mtazamo meingineMkuu mi nataka kujua tu pale ninapozaliwa, je Mungu anakua amejua mwisho wangu ama nae anakua hajajua ila itategemeana na matendo yangu.?
Nyongeza..
Kuna watu mtu akifa husema ni mapenzi ya Mungu, siku yake ilifika na mambo kama hayo kumaanisha kua Mungu ndio alipanga afe kwa namna ile.
Sasa najiuliza, mtu alichomwa moto kwa wizi, aliepigwa risasi, aliejiua kwa ufupi kifo kilichosababishwa moja kwa moja na mkono wa binadamu nayo pia ni mapenzi ya Mungu? Ilipangwa tangu awali mtu huyu afe kwa kudungwq bisu la koromeo na kaka yake??
Karibu.
Tatizo lenu nyie msiomuamini Mungu lipo kwenye kutaka dunia isiyo na mitihani,mnataka kusiwe na uovu na mnataka kusiwe na motoMungu anakupa mtihani ili agundue nini?
Kuna kipi huyo Mungu asichokijua hadi atupime kwa kutupa mitihani?
Kwa hiyo huyo Mungu alidhamiria kabisa kuweka uovu na wema duniani ili tu pasiwe kama peponi?
Kama Mungu hausiani na matendo yetu, mbona mnamuhusisha huyo Mungu kwenye uumbaji wetu binadamu?
Mnamuhusisha huyo Mungu kwenye uumbaji halafu likija suala la mema na maovu hamtaki ahusishwe.
Sasa huu uovu ulijileta wenyewe sio?
Je huyo Mungu hakujua kwamba uovu utakuja kuwepo duniani audhibiti na kuuzuia mapema?
Kama Mungu anajua mwisho wa mtu, na anaweza kubadilisha destiny ya mtu, Kwa nini hawabadilishi watu waovu watende mema ili mwishoni waingie peponi?
Kama Mungu anajua mtu fulani ataingia jehanamu, Je mtu huyo anaweza kubadilika yeye mwenyewe ili aingie peponi?
Kama mtu hawezi kubadilika yeye mwenyewe ili aingie peponi, Je Mungu ndie mpangaji wa watu kuingia jehanamu?
Kwa nini huyo Mungu anaacha watu waingie motoni ikiwa yeye ndiye mpangaji wa maisha yetu tangu mwanzoni na hata milele?
Huyo Mungu, Alishindwaje kufanya binadamu wote wafuate njia moja tu ya wema ili wote tuingie peponi?
Kama ni juu yetu kuamua tunataka kwenda wapi, Je sisi ndio wapangaji wa maisha yetu na destiny zetu?
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je HAKUJUA kwamba hapendi uovu, audhibiti na kuuzuia mapema usiwepo duniani?
Au alijua na kufanya makusudi uovu uwepo duniani?
Wapo wengi sana humu ambao hawaaminiTatizo lenu nyie msiomuamini Mungu lipo kwenye kutaka dunia isiyo na mitihani,mnataka kusiwe na uovu na mnataka kusiwe na moto
Busara yenu ya kibinadamu ndio muongozo wenu,maana kibinadamu tungependa wote tupate raha na tusipate changamoto
Ndio maana Mungu anapokuja na mpango wake inakuwa ni vigumu kwenu kuelewa haya
Tusubiri siku ya mwisho
Asante
Lakini hii inaonyesha yeye hana chaguo!Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri
Mfano kama mtu anaenda motoniInafikirisha
Unachekesha wewe kumbeLakini hii inaonyesha yeye hana chaguo!
Maana hata akifanya chochote haitabadilisha kitu
Allah ndio anaidhinisha mtoto kubakwa, mtu kuua , kuzini ,n.kTukija katika swali la pili, kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu hapana jambo lolote linaloweza kufanyika pasina idhini ya Mungu,ngoja kwanza usome aya ya qur'an ifuatayo:
Mungu mnayedai kwamba ni mwema sana kwenye dunia iliyojaa uovu na mabaya ina make sense kweli?Tatizo lenu nyie msiomuamini Mungu lipo kwenye kutaka dunia isiyo na mitihani,mnataka kusiwe na uovu na mnataka kusiwe na moto
Hakuna binadamu yeyote anayetaka apate shida, changamoto na matatizo.Busara yenu ya kibinadamu ndio muongozo wenu,maana kibinadamu tungependa wote tupate raha na tusipate changamoto
Mipango ya huyo Mungu ina dosari, kasoro na mapungufu makubwa sana.Ndio maana Mungu anapokuja na mpango wake inakuwa ni vigumu kwenu kuelewa haya
Tusubiri siku ya mwisho
Asante
Mungu akiaminiwa anafaidika nini?Wapo wengi sana humu ambao hawaamini
Sikweli, Bila Mama yangu na Baba yangu kukutana ndiyo nisingekuwepo au labda My mother angetoa mimba kipindi mjamzito.Amatuumba kwanza wewe hapo ulipo
Bila yeye usingekuwepo
Kuna watu wana vipawa vya biashara, kilimo, ujuzi tofauti tena wengi na hawamuamini huyo mungu.Vipawa
Kama baba yako mzazi mwenyewe ulikua ukimuomba pesa ya matumizi kuna mda hana sembuse kumuomba huyo baba mliyemtunga kichwani?Kwa kutambua karama uliyonayo
Na kama bado haujui Muombe akujulishe
Kwa hiyo Mungu anaumba watu halafu aje awachome tu basi ndio furaha yake!! Mungu gani huyu!!?Kabla ujazaliwa ukiwa tumboni kwa mama ako..
Ulishaandika kabisa kama wewe ni wa motoni au wa peponi mkuu...
Kwahyo Mungu anajua kila kitu ni kazi yako ww kujirekebisha au laah sawa shekhe..
Kingine hili swali lako limekaa kikafiri