DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yakobo 1:14Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: “Mungu ananijaribu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.
Yakobo 1:13...
SawaHizo ni nyakati unaweza mpatia ushauri ili Aweze kuvuka salama Mwambie aende madhabauini aongee Jambo lake.
LIPIA TANGAZO.Ndugu zangu mwenye kazi yoyote ya kibarua niko tayari kuifanya ili nimsaidie huyu dada
Najua wewe hauna PESA ila mpokee hapo Gheto kwako usimfukuze Wala usifanye naye ngono hakikisha unamshinda SHETANI , unaweza kuomba Mungu afungue milango mtakula na kusaza na hamtakwama Mungu wetu ni mkuu Sana hawezi kukuacha hivi hiviYakobo 1:14
[14]Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.
But every man is tempted, when he is drawn away of his own lust, and enticed.
Kwa hiyo nisimsaidie, maana hapa maandiko yanasema najaribiwa na tamaa yangu, kitu ambacho si kweli. Kwa ile mimba nitamani nini mimi hata mtalimbo hauwezi kushituka
Wanaume wenye moyo kama wako ni wachache sanaSijamgegeda dada. Hata rangi ya andasleti yake siijui
Kuwa postive sio unaandika ili kuwachekesha watu huwezi jua mwenzio yupo katika situation gani! Watu wenye uelewa Mdogo Kama wewe hamfaiLIPIA TANGAZO.
Mtu kaachwa na bwanake halafu mtu baki anaumiza kichwa, kuna watu wana bahati, hicho kiumbe tumboni kitakuwa na kitu special sana-Kwa nini hataki kwenda kwao?
-Wewe mwenyewe huna kazi unadhani mtaishije na mjamzito kuna muda anahitaji uangalizi maalum? Mungu ni mwema akijifungua salama, utawezaje kujihudumia wewe, na yeye, na mwanae ilihali huna kazi?
_Huna mawasiliano na ndugu zake, akipata tatizo kubwa kiafya au hata akifa wewe utafanyaje?
Huyo ni kiumbe tena mwenye mahitaji
maalumu na anatarajia kuleta kiumbe kingine chenye mahitaji maalum. Ebu mwambie kuwa ni lazima upate mawasiliano na kwao in case of anything. Unaweza kuendelea kukaa naye ila kwao wawe na taarifa zake. Huwezi jua ukakutanishwa na rafiki yako ambaye ni kaka yake mliyepotezana mkaanza kusaidiana kumhudumia huyo dada.
Una roho nzuri sana mkuu lakini huyo ni mtoto wa watu usiongozwe na hisia za kutoa msaada ukasahau uhalisia wa maisha
Niunganishe naeSijamgegeda dada. Hata rangi ya andasleti yake siijui
Uomenyesha ni jinsi gani bichwa lako limepungukiwa hekima. Mleta mada hajataka kuomba pesa, kasema kwa kipindi hiki kigumu yuko tayari kufanya kazi yoyote sababu ya mjamzito, wewe unaleta uchekechea wako hapa.LIPIA TANGAZO.
Msaidie na Mungu hatakupungukiaNina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea.
Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi.
Nimemwambia urudi kijijini, anasema bora afe kuliko kurudi kijijini na hali ile. Ndugu zake niliachana nao siku nyingi sina namba zao za simu.
Kwa hali ya huyu dada anatakiwa kukaa chini ya uangalizi, sio ghetto.
Je namsaidiaje? Kwanini Mungu huu mtihani kanidondoshea mimi?
Umebuni story ili upate kazi, ajira zimekuwa ngumu hadi watu wamekuwa wajanja hiviNdugu zangu mwenye kazi yoyote ya kibarua niko tayari kuifanya ili nimsaidie huyu dada
Ndugu zangu mwenye kazi yoyote ya kibarua niko tayari kuifanya ili nimsaidie huyu dada
Uenda hajui saikolojia ya ndoa,mtu akiwa na mimba ana tofaut na kichaa unamvumilia tuJiulize Kwanini bwanake amfukuze akiwa kwenye hali hiyo,, huyo atakua na shida sio bure....anyway kama umewiwa msaidie tu
Hahahah! umejuaje kama nimeandika ili kuchekesha? Vipi umecheka pia?Kuwa postive sio unaandika ili kuwachekesha watu huwezi jua mwenzio yupo katika situation gani! Watu wenye uelewa Mdogo Kama wewe hamfai
NA NISHAMPA CONTROLL NUMBER ILI ALIPIE HILI TANGAZO LAKE MAPEMA SANAUmebuni story ili upate kazi, ajira zimekuwa ngumu hadi watu wamekuwa wajanja hivi
Mbona unaendeshwa na mihemko kiasi hiki?Uomenyesha ni jinsi gani bichwa lako limepungukiwa hekima. Mleta mada hajataka kuomba pesa, kasema kwa kipindi hiki kigumu yuko tayari kufanya kazi yoyote sababu ya mjamzito, wewe unaleta uchekechea wako hapa.
Kwani ungesoma na usichangie ungepata hasara gani?
Huyo kakuambia ukweli dunia haitaji watu wa ajabu Ajabu Kama weweMbona unaendeshwa na mihemko kiasi hiki?
Naijua hiyoo....
Au wewe ndo huyo mwenye mimba anayepigiwa promo na kutumika kutolea tangazo?