Je, Mungu atamsamehe shetani?

Limebakia sharti moja. Binadamu wote dunia nzima, leo hii tukimtambua na kumkubali Mungu wa kweli na tukamwombea shetani msahamaha, atasamehewa siku hiyo hiyo.
Haya umeambiwa na nani wewe?
I mean umejuaje kuhusu hili.

Unafahamu kuwa Mungu na shetani ni wewe mwenyewe?

Kwasababu Mungu anachukia watu wote ambao wewe unawachukia
 
shetani ni kiumbe huru kwaiyo alimwacha afate uchaguzi wake ( haikumoendeza kuumba kiumbe roboti mtu na shetani ilikuwa lazima wawe na uhuru wa kuyafata mapenzi yao ).....na hata adam na hawa walikuwa na uhuru wa kuchagua kufata wanachoona bora wao watii au waasi...MUNGU anaupendo wa milele ametoa nafasi kwa kila mtu kuchagua hata ivi leo bado nafasi ipo kwa kila anayeishi
 
Je Mungu huyo ambae aliacha/aliwapa uhuru watu wafuate chaguzi zao, ilikuwaje akakasirika na akawaangamiza watu hao aliowapa uhuru wa kuchagua mabaya kipindi kile cha gharika?

Kwanini Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliamua kumuacha shetani huyo afuate uchaguzi wake mbaya ambao ungesababisha mabaya kutokea kwa viumbe wake wengine awapendao?
 
Unauhakika upi!?

Umewahi kumskia Nuwa na unadhani sie Mungu wa kweli?

Unaweza kuthibitisha kwamba Allah yupo?
Juyo nuwa sijui na nna uhakika sio Mungu maana Mungu wa kweli ni mmoja tu Allah, la illah ila Allah.
Uthibitisho ni Quran
 
Kwanza sahisha hapa,sheitani malaika,hivi ni viumbe 2 tofaoti
 
Mungu wa kweli ni yupi!?
Bado hujanipata ninachomaanisha, "siku tukimtambua na kumkubali Mungu wa kweli". Ukirudi kinyume nyume inasomeka hivi " huyo Mungu wako unayemwamini unapaswa kumjulisha kwa watu wote na wamkubali ili shetani hasamehewe".
 
Sijakuelewa.

Nmekuuliza hivyo kwamaana kuna miungu zaidi ya 3000+

Sasa katika hao wote, ni Mungu yupi ni wa kweli hapo?
 
Kama unaongelea uhalisia, Mungu hawezi kumsamehe shetani, kwa sababu Mungu hayupo na Shetani hayupo.

Kama unaongelea huyo Mungu wa hadithi aliyeandikwa vitabuni, unaweza kutunga hadithi yoyote unavyotaka.
 
Bado hujanipata ninachomaanisha, "siku tukimtambua na kumkubali Mungu wa kweli". Ukirudi kinyume nyume inasomeka hivi " huyo Mungu wako unayemwamini unapaswa kumjulisha kwa watu wote na wamkubali ili shetani hasamehewe".
Kwamaana sikuelewi unaposema huyu Mungu ninayemuamini.

Yupi sasa?
Mimi siamini li Mungu lolote kati ya hayo, kwamaana sijui la ukweli ni lipi!?

Embu nipe ukweli huo ili nami npate japo kitu.
 
Juyo nuwa sijui na nna uhakika sio Mungu maana Mungu wa kweli ni mmoja tu Allah, la illah ila Allah.
Uthibitisho ni Quran
Kama humjui Nuwa unapataje uhakika kuwa si Mungu wa kweli?

Quran itathibitisha vipi uwepo wa Allah katika uhalisia, zaidi tu ya kuthibitisha uwepo wa Allah katika hadithi hizo za uongo zilizotungwa tu na watu?
 
Quran ni uthibitisho tosha. Haijatungwa na watu na imesshushwa kutoka kwa Allah.
Hakuna binadamu mwenye uwezo wa kutunga hata sentesi moja ya Quran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…