Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Haya umeambiwa na nani wewe?Limebakia sharti moja. Binadamu wote dunia nzima, leo hii tukimtambua na kumkubali Mungu wa kweli na tukamwombea shetani msahamaha, atasamehewa siku hiyo hiyo.
I mean umejuaje kuhusu hili.
Unafahamu kuwa Mungu na shetani ni wewe mwenyewe?
Kwasababu Mungu anachukia watu wote ambao wewe unawachukia