OkAlijua! maana MUNGU anasifa ya kujua YOTE past and future time...
Mkuu hebu fafanua hili suala 😅Hata unge kuwa wewe (Connection ya Eden) usinge angalia?
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo.Kama kuna mashahidi wa YEHOVA humu, anisaidie tafadhali....
Kuna jirani yangu JW hua ana nambia kwamba, MUNGU hakujua kwamba alipomuumba Adam atakula tunda...
Nimejaribu kumfanyia cross-examination majibu yake siyaelewi,
Labda kama yumo mwingine humu anieleweshe, kama hakuna nikipata time Jumapili, nitawatembelea, kwenye JUMBA LA UFALME...
HAKUJUAKama kuna mashahidi wa YEHOVA humu, anisaidie tafadhali....
Kuna jirani yangu JW hua ana nambia kwamba, MUNGU hakujua kwamba alipomuumba Adam atakula tunda...
Nimejaribu kumfanyia cross-examination majibu yake siyaelewi,
Labda kama yumo mwingine humu anieleweshe, kama hakuna nikipata time Jumapili, nitawatembelea, kwenye JUMBA LA UFALME...
Niki toa ufafanuzi nita haribu mkuu🤣🤣🤣Mkuu hebu fafanua hili suala 😅
Kwaiyo sio kweli kwamba ana jua wakati ulio pita,uliopo na unao kujaHAKUJUA
KWASABABU MUNGU AMEMPA MWANADAMU MAMLAKA YA KUCHAGUA ( KWA HIYO MWANADAMU ANACHAGUA
UZIMA NA MAUTI
HAWA AKACHAGUA MAUTI
KWA KUDANGANYWA NA YEYE AKAINGIA KINGI.
Mkuu unataka kwa hiyo yale maongezi ya nyoka na eva alikuwa hajui nini kinaendelea?HAKUJUA
KWASABABU MUNGU AMEMPA MWANADAMU MAMLAKA YA KUCHAGUA ( KWA HIYO MWANADAMU ANACHAGUA
UZIMA NA MAUTI
HAWA AKACHAGUA MAUTI
KWA KUDANGANYWA NA YEYE AKAINGIA KINGI.
Wapo wastaarabu mkuuHumu ndani kila mtu mshari.