Je MUNGU hakujua kama Adam atakula tunda?

Je MUNGU hakujua kama Adam atakula tunda?

Indeed! sasa yeye eti alinambia "alijua" ila kuna mambo MUNGU hua anajizuia asijue... nikamuulize fungu gani hilo?

akanambia mwanzo 6 kwamba MUNGU akaghairi, anaanza kumlinganisha na mwanadamu.....
 
Kwa nini mkuu? sasa kama ni jirani nete kinehe???
Fata ulivyofundishwa acha kutafuta mengine yasiyokusaidia! Nmesoma shule za kisabato najua mafunzo yao ndani nje, unakwama wapi mpaka unaanza kuanguka kiroho? Ebhe nyanda!
 
Ukishajua kwanini Adam aliumbwa,basi huwez kujiuliza maswali mengi (kwanini alikula tunda ?, Mungu hakujua kama atakula tunda ? n.k)
 
Ukishajua kwanini Adam aliumbwa,basi huwez kujiuliza maswali mengi (kwanini alikula tunda ?, Mungu hakujua kama atakula tunda ? n.k)
mwanadamu anatembea kwenye mzunguko ambao umeshachorwa hili jambo ninaushahid nalo kuna tukio nililiona litatokea siku za mbelen nikasema sitoenda hiyo sehemu siku hiyo ila kilichotokea utabiri ulitimia kama nilivyoona.
 
october 30 last year kuna ndoto ilitimia... nikipata time nitaiandika.
 
Unamuuliza Mungu au unatuuliza sisi?..Unafahamu jibu la swali hili ni wewe?
 
Kama kuna mashahidi wa YEHOVA humu, anisaidie tafadhali....

Kuna jirani yangu JW hua ana nambia kwamba, MUNGU hakujua kwamba alipomuumba Adam atakula tunda...

Nimejaribu kumfanyia cross-examination majibu yake siyaelewi,

Labda kama yumo mwingine humu anieleweshe, kama hakuna nikipata time Jumapili, nitawatembelea, kwenye JUMBA LA UFALME...
Alikuwa anajua, ulikuwa ni mpango wake.
 
Mungu alijua kuwa Adam atakula tunda! Ilivyo Mungu hawezi kuacha kutimiza Mipango yake eti kwa kuhofia jambo fulani litatokea! Mungu anaangalia Kusudi lake.
Kusudi ilikuwa kuumba! Vyote alivyoumba ni Mali yake na vipo kwa ajili yake.
 
Hakika... sema huyu jirani yangu mtata sana mkuu
 
Back
Top Bottom