Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
Aliye amua ni evaMkuu unataka kwa hiyo yale maongezi ya nyoka na eva alikuwa hajui nini kinaendelea?
Yeye Mungu akaona Matokeo tu.
Aliye amua ni evaMkuu unataka kwa hiyo yale maongezi ya nyoka na eva alikuwa hajui nini kinaendelea?
Ni kweli anajua , ila si kila kitu .Kwaiyo sio kweli kwamba ana jua wakati ulio pita,uliopo na unao kuja
Anajua ila siyo yote.Kwa hiyo MUNGU hajui yajayo?