Je MUNGU hakujua kama Adam atakula tunda?

Kwaiyo sio kweli kwamba ana jua wakati ulio pita,uliopo na unao kuja
Ni kweli anajua , ila si kila kitu .

Kwa mfano wewe umepanga ujinyonge kesho atakuwa amejua kwanzia leo wewe ulivyo waza

Lakini jana alikuwa hajuhi kama wewe kesho yake utawaza kujinyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…