Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Nielekeze namna ya kuthibitisha kihistoria...Hata hapo bado haujathibitisha kihistoria
Unajua maana ya kuthibitisha kihistoria?
Hakuna Freemason Atheist...Kumbe we nawe bange!
Hayo umejifunza wapi? Au kwenye ile lodge yenu pale Posta? Halafu hata hujaeleweka vizuri. Kuifanya mioyo kuwa muhimu maana yake nini sasa?
Ovyoo!
Typo. My tablet autocorrect is learning Swahili.Kumbe we nawe bange!
Hayo umejifunza wapi? Au kwenye ile lodge yenu pale Posta? Halafu hata hujaeleweka vizuri. Kuifanya mioyo kuwa muhimu maana yake nini sasa?
Ovyoo!
Kumbe unamjua Mungu anavyotakiwa kuwa...?!Typo. My tablet autocorrect is learning Swahili.
Quran imeandika kwamba mungu kaifanya mioyo ya watu wengine kuwa muhimu kiasi kwamba hata walitaka kumjua kwa juhudi gani, hawawezi kumjua.
Halafu hawajazaliwa ambao kawazuia kumjua, atakuwa kuwahukumu kwa sababu hawajamjua, atawaunguza motoni.
Huyo mungu gani sasa?
Anakuzuia usimjue, halafu anakuunguza motoni kwa sababu hujapata kumjua.
Totally crappy.
Huyo hajafahamu kwamba Freemason na wanaoamini mungu wako karibu zaidi ya Freemason na wasioamini mungu.Hakuna Freemason Atheist...
Najua contradiction ninapoiona.Kumbe unamjua Mungu anavyotakiwa kuwa...?!
Laa Illaha Illa Llah!Apaswaye kuabudiwa isipokuwa...
Hana ajualo huyo zaidi ya kuokoteza stori toka vijiweni huko na magazeti ya udaku...Huyo hajafahamu kwamba Freemason na wanaoamini mungu wako karibu zaidi ya Freemason na wasioamini mungu.
Sharti moja kubwa la kuwa Freemason ni kuamini mungu.
Kwa hiyo Waislamu na Wakristo wapi karibu na Freemasons kuliko mimi nisiyeamini kuwapo kwa mungu.
A little knowledge is dangerous indeed.
Au sio...Laa Illaha Illa Llah!
That alone is a contradiction.Laa Illaha Illa Llah!
Hakuna Mungu inasema halafu baadae inajipinga yenyewe...That alone is a contradiction.
Contradiction maana yake nini?Hakuna Mungu inasema halafu baadae inajipinga yenyewe...
Halafu kuwepo kwa contradiction haiondoi kitu fulani kisiwepo...
Namaanisha kitu kinachojipinga chenyewe...Contradiction maana yake nini?
Kitu gani kinachojipinga chenyewe in a proper contradiction ambacho kipo?Namaanisha kitu kinachojipinga chenyewe...
Typo. My tablet autocorrect is learning Swahili.
Quran imeandika kwamba mungu kaifanya mioyo ya watu wengine kuwa migumu kiasi kwamba hata walitaka kumjua kwa juhudi gani, hawawezi kumjua.
Halafu hawajazaliwa ambao kawazuia kumjua, atakuwa kuwahukumu kwa sababu hawajamjua, atawaunguza motoni.
Huyo mungu gani sasa?
Anakuzuia usimjue, halafu anakuunguza motoni kwa sababu hujapata kumjua.
Totally crappy.
Hujawahi kuona mtu anakwambia unaweza ukawa sawa kwa namna moja, na usiwe sawa kwa namna nyingine...?!Kitu gani kinachojipinga chenyewe in a proper contradiction ambacho kipo?
Is there something that is possible and impossible?
Au ikiandikwa kwa kiarabu haikunogei?Au sio...
Hana ajualo huyo zaidi ya kuokoteza stori toka vijiweni huko na magazeti ya udaku...
Hiyo kiarabu ukiitafsiri inasema hakuna mungu ila Allah, hapo ndio inaniacha hoi, inapinga halafu inakubali yupo...Au ikiandikwa kwa kiarabu haikunogei?
Maana nimetranscribe tu hapo...