Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Kumbe we nawe bange!
Hayo umejifunza wapi? Au kwenye ile lodge yenu pale Posta? Halafu hata hujaeleweka vizuri. Kuifanya mioyo kuwa muhimu maana yake nini sasa?

Ovyoo!
Hakuna Freemason Atheist...
 
Kumbe we nawe bange!
Hayo umejifunza wapi? Au kwenye ile lodge yenu pale Posta? Halafu hata hujaeleweka vizuri. Kuifanya mioyo kuwa muhimu maana yake nini sasa?

Ovyoo!
Typo. My tablet autocorrect is learning Swahili.

Quran imeandika kwamba mungu kaifanya mioyo ya watu wengine kuwa migumu kiasi kwamba hata walitaka kumjua kwa juhudi gani, hawawezi kumjua.

Halafu hawajazaliwa ambao kawazuia kumjua, atakuwa kuwahukumu kwa sababu hawajamjua, atawaunguza motoni.

Huyo mungu gani sasa?

Anakuzuia usimjue, halafu anakuunguza motoni kwa sababu hujapata kumjua.

Totally crappy.
 
Typo. My tablet autocorrect is learning Swahili.

Quran imeandika kwamba mungu kaifanya mioyo ya watu wengine kuwa muhimu kiasi kwamba hata walitaka kumjua kwa juhudi gani, hawawezi kumjua.

Halafu hawajazaliwa ambao kawazuia kumjua, atakuwa kuwahukumu kwa sababu hawajamjua, atawaunguza motoni.

Huyo mungu gani sasa?

Anakuzuia usimjue, halafu anakuunguza motoni kwa sababu hujapata kumjua.

Totally crappy.
Kumbe unamjua Mungu anavyotakiwa kuwa...?!
 
Hakuna Freemason Atheist...
Huyo hajafahamu kwamba Freemason na wanaoamini mungu wako karibu zaidi ya Freemason na wasioamini mungu.

Sharti moja kubwa la kuwa Freemason ni kuamini mungu.

Kwa hiyo Waislamu na Wakristo wapi karibu na Freemasons kuliko mimi nisiyeamini kuwapo kwa mungu.

A little knowledge is dangerous indeed.
 
Imekuwaje mungu amnyime mtu kumjua yeye mungu wake, halafu amhukumu kwa kutomjua mungu?
 
Huyo hajafahamu kwamba Freemason na wanaoamini mungu wako karibu zaidi ya Freemason na wasioamini mungu.

Sharti moja kubwa la kuwa Freemason ni kuamini mungu.

Kwa hiyo Waislamu na Wakristo wapi karibu na Freemasons kuliko mimi nisiyeamini kuwapo kwa mungu.

A little knowledge is dangerous indeed.
Hana ajualo huyo zaidi ya kuokoteza stori toka vijiweni huko na magazeti ya udaku...
 
Typo. My tablet autocorrect is learning Swahili.

Quran imeandika kwamba mungu kaifanya mioyo ya watu wengine kuwa migumu kiasi kwamba hata walitaka kumjua kwa juhudi gani, hawawezi kumjua.

Halafu hawajazaliwa ambao kawazuia kumjua, atakuwa kuwahukumu kwa sababu hawajamjua, atawaunguza motoni.

Huyo mungu gani sasa?

Anakuzuia usimjue, halafu anakuunguza motoni kwa sababu hujapata kumjua.

Totally crappy.

Dah, mchumba wacha uongo basi..
Hebu thibitisha hiyo Quran ni sura gani imeandika hayo. Kisha nifafanulie hiyo ya bluu hapo sijakuelewa freshi..

Wait, unasema Mungu kazuia watu wasimjue halafu wote atawaunguza? Sasa uwepo wa Quran na mafundisho ya manabii ni ya kazi gani kama Mungu kazuia watu wasimjue?

Unataja taja neno Logic halafu kumbe nawe si mtumiaji mzuri wa hiyo Logic yenyewe..
 
Kitu gani kinachojipinga chenyewe in a proper contradiction ambacho kipo?

Is there something that is possible and impossible?
Hujawahi kuona mtu anakwambia unaweza ukawa sawa kwa namna moja, na usiwe sawa kwa namna nyingine...?!

lakini huyo mtu kuwa sawa au asiwe sawa bado yupo...
 
Hana ajualo huyo zaidi ya kuokoteza stori toka vijiweni huko na magazeti ya udaku...

Acha hizo basi.. Cha kuokoteza hapo ni kipi sasa? Kwamba unakubalina na Kiranga kuwa hao jamaa mko nao karibu kuliko wao au?
 
Au ikiandikwa kwa kiarabu haikunogei?
Maana nimetranscribe tu hapo...
Hiyo kiarabu ukiitafsiri inasema hakuna mungu ila Allah, hapo ndio inaniacha hoi, inapinga halafu inakubali yupo...
 
Back
Top Bottom