We unadhani kila kitu ni logic tu...?!We usinilishe maneno ambayo sikutamka. Bado sijawaza ngono kabisa,
We ulitaka uthibitisho wa upendo nimekupa sasa hayo maswala ya jinsia yakusanye yote yaweke kwa Mungu wako, jiulize maswali kisha ujijibu ila ukishapata uthibitisho ndo uje kubishana, kama huna logic kwanini unabisha???
Kwahiyo kama ni hivyo huyo aliyemtengeneza binadamu naye katengenezwa na nani na nani anam control?Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
Vitabu vipi?kuna Imani nyingiJimena said:Hizo mnazoita vitabu vya Mungu ndo zenye uthibitisho wa kutosha.
Mungu huyo huyo tunaeambiwa ndo kaumba kila kitu (ikiwemo dhambi) na ni huyo huyo anaandaa moto awachome
Mungu amekupa uwezo wa kuchagua,hivyo basi hawezi kukulazimisha wewe usitende dhambiambao alikuwa na uwezo wa kuwafanya wasitende dhambi ila akaawaacha tu
Una uhakika kuwa hayupo?Huyu Mungu hayupo wala hajawahi kuwepo bali zile ni hadithi tu ambazo yataka ujitoe fahamu kuziamini
Logical consistency haihitaji maabara, unaweza kuthibitisha mungu yupo kwa kutumia logical consistent arguments?Jimena nikwambie ukweli tu aisee siwezi kwenda maabara nikakuthibitishia Mungu halafu nika scan matokeo nikakutumia...
We ukihisi homa unaenda kupima je ukihisi upendo unapima wapi...?! Hebu kapime upendo uniscanie matokeo niyaone... nijue upo kiasi gani
Wewe hapa umepotea njia...hapakifai mkuu.[/QUOTE]Wewe hapa umepotea njia...hapakifai mkuu.
51075"]Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
kwanini hakuna mungu?Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.
Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
Ukienda na fikra hiyo, itabidi uniulize, mungu naye katengenezwa na nani?Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kuwepo?Vitabu vipi?kuna Imani nyingi
Katika midahalo kama hii,usikimbilie kwenye vitabu vya dini.Kwasababu unajadili na watu wenye imani tofauti tofauti.
Generalize hoja zako
Hakuna Mungu aliyeumba dhambi
Dhambi sio kitu kinachoshikika mpaka kiwe na sifa ya kuumbwa
Mungu amekupa uwezo wa kuchagua,hivyo basi hawezi kukulazimisha wewe usitende dhambi
Dhambi ni maamuzi yako wewe
Kama Mungu angeingilia hayo maamuzi yako usingekuwa tofauti na Robot
Una uhakika kuwa hayupo?
Kwan ww unajua mungu ni nanNanyie akina Mohammed Mungu ni Yesu
hapa nafananisha na mzazi anayemnyima mwanae chakula ili akonde, kisha anamfanyia torture yule mwanae kama adhabu ya yeye kukondaWaislamu na Wakristo wote walewale tu.
Hawana tofauti kubwa kwangu.
Waislamu wanaotuambia mungu ameifanya mioyo ya wengine iwe migumu makusudi ili wasimjue halafu anawahukumu kwa kutomjua.
Mungu gani Huyo anakufanya usimjue hata ujaribu vipi, halafu anakuunguza moto kwa sababu hujamjua.
Huyo mungu auhadithi za enzi za ujinga tu?
Halafu watu wamuamini.
YesuKwan ww unajua mungu ni nan
Hahaha we mzee naona sasa unazeeka vibaya.. Nakuelewesha kitu unarudia kule kule kujifanya hujaelewa.Utasemaje wameamua tu wenyewe wakati Quran inatuambia mungu kaifanya mioyo yao kuwa migumu wasimjue?
Unataka kusema Quran imedanganya?
Exactly.hapa nafananisha na mzazi anayemnyima mwanae chakula ili akonde, kisha anamfanyia torture yule mwanae kama adhabu ya yeye kukonda
what a nonsense
Kuna baadhi ya maswali yangu umeyakwepa page ya 14,ila sio case.!Kiranga said:Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kuwepo?
Na mungu akishaifanya mioyo yao migumu wasimuelewe, wakijitahidi kumuelewa, wanaweza kuondoa huo ugumu aliouweka mungu kuwafanya wasimuelewe?Hahaha we mzee naona sasa unazeeka vibaya.. Nakuelewesha kitu unarudia kule kule kujifanya hujaelewa.
Haya soma ule mstari wa 6 ulioutoa mwenyewe ndio unajibu swali lako la kwanini Mungu kaifanya iwe migumu..
Usilete ujanja ujanja bana Kiranga..
Anyway, kama huamini uwepo wa Mungu why do you care watu wakianzisha mada zinazomhusu?