Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
 
We usinilishe maneno ambayo sikutamka. Bado sijawaza ngono kabisa,
We ulitaka uthibitisho wa upendo nimekupa sasa hayo maswala ya jinsia yakusanye yote yaweke kwa Mungu wako, jiulize maswali kisha ujijibu ila ukishapata uthibitisho ndo uje kubishana, kama huna logic kwanini unabisha???
We unadhani kila kitu ni logic tu...?!
 
Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
Kwahiyo kama ni hivyo huyo aliyemtengeneza binadamu naye katengenezwa na nani na nani anam control?
 
Mambo yote yako ivo kwa sabab baada ya Bwana Yesu Kristo kuja hapa duniani , anasema hakuja ili kutengua sheria bali alikuja ili kusimamia sheria ili ipate kutimia
 
Wewe hapa umepotea njia...hapakifai mkuu.
51075"]Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu[/QUOTE]
Wewe hapa umepotea njia...hapakifai mkuu.
 
Mungu c yuleyule, tena I think kila binadam ana Mungu wake
 
Jimena said:
Hizo mnazoita vitabu vya Mungu ndo zenye uthibitisho wa kutosha.
Vitabu vipi?kuna Imani nyingi

Katika midahalo kama hii,usikimbilie kwenye vitabu vya dini.Kwasababu unajadili na watu wenye imani tofauti tofauti.

Generalize hoja zako

Mungu huyo huyo tunaeambiwa ndo kaumba kila kitu (ikiwemo dhambi) na ni huyo huyo anaandaa moto awachome

Hakuna Mungu aliyeumba dhambi

Dhambi sio kitu kinachoshikika mpaka kiwe na sifa ya kuumbwa
ambao alikuwa na uwezo wa kuwafanya wasitende dhambi ila akaawaacha tu
Mungu amekupa uwezo wa kuchagua,hivyo basi hawezi kukulazimisha wewe usitende dhambi

Dhambi ni maamuzi yako wewe

Kama Mungu angeingilia hayo maamuzi yako usingekuwa tofauti na Robot

Huyu Mungu hayupo wala hajawahi kuwepo bali zile ni hadithi tu ambazo yataka ujitoe fahamu kuziamini
Una uhakika kuwa hayupo?
 
Jimena nikwambie ukweli tu aisee siwezi kwenda maabara nikakuthibitishia Mungu halafu nika scan matokeo nikakutumia...

We ukihisi homa unaenda kupima je ukihisi upendo unapima wapi...?! Hebu kapime upendo uniscanie matokeo niyaone... nijue upo kiasi gani
Logical consistency haihitaji maabara, unaweza kuthibitisha mungu yupo kwa kutumia logical consistent arguments?
 
Wewe hapa umepotea njia...hapakifai mkuu.
51075"]Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
Wewe hapa umepotea njia...hapakifai mkuu.[/QUOTE]
Ok kumbe hapa ni kwa watu maalum tu, sikujua
 
Ok mi nadhani tujiulize maswali yafuatayo viberiti, magari, piki piki, simu, peni, nyumba, barabara, sindano nk je vimetokea tu naturaly? Kama vimetengezwa basi kwanini binadamu asitengezwe? Pia vitu vyote ambavyo binadamu ametengeza yy ndio ana vi control, kwa msingi huo anayetengeza ndio ana control na hata aliyemtengeza binadamu ndio anauwezo kuliko binadamu
Ukienda na fikra hiyo, itabidi uniulize, mungu naye katengenezwa na nani?

Kama complexity ni lazima iwe na muumbaji, basi huyo muumbaji naye lazima awe na muumbaji, ad infinitum, ad absurdum.
 
Vitabu vipi?kuna Imani nyingi

Katika midahalo kama hii,usikimbilie kwenye vitabu vya dini.Kwasababu unajadili na watu wenye imani tofauti tofauti.

Generalize hoja zako

Hakuna Mungu aliyeumba dhambi

Dhambi sio kitu kinachoshikika mpaka kiwe na sifa ya kuumbwa

Mungu amekupa uwezo wa kuchagua,hivyo basi hawezi kukulazimisha wewe usitende dhambi

Dhambi ni maamuzi yako wewe

Kama Mungu angeingilia hayo maamuzi yako usingekuwa tofauti na Robot

Una uhakika kuwa hayupo?
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kuwepo?
 
Waislamu na Wakristo wote walewale tu.

Hawana tofauti kubwa kwangu.

Waislamu wanaotuambia mungu ameifanya mioyo ya wengine iwe migumu makusudi ili wasimjue halafu anawahukumu kwa kutomjua.

Mungu gani Huyo anakufanya usimjue hata ujaribu vipi, halafu anakuunguza moto kwa sababu hujamjua.

Huyo mungu auhadithi za enzi za ujinga tu?

Halafu watu wamuamini.
hapa nafananisha na mzazi anayemnyima mwanae chakula ili akonde, kisha anamfanyia torture yule mwanae kama adhabu ya yeye kukonda

what a nonsense
 
Utasemaje wameamua tu wenyewe wakati Quran inatuambia mungu kaifanya mioyo yao kuwa migumu wasimjue?

Unataka kusema Quran imedanganya?
Hahaha we mzee naona sasa unazeeka vibaya.. Nakuelewesha kitu unarudia kule kule kujifanya hujaelewa.

Haya soma ule mstari wa 6 ulioutoa mwenyewe ndio unajibu swali lako la kwanini Mungu kaifanya iwe migumu..

Usilete ujanja ujanja bana Kiranga..

Anyway, kama huamini uwepo wa Mungu why do you care watu wakianzisha mada zinazomhusu?
 
hapa nafananisha na mzazi anayemnyima mwanae chakula ili akonde, kisha anamfanyia torture yule mwanae kama adhabu ya yeye kukonda

what a nonsense
Exactly.

Halafu bora hata huyo mzazi unaweza kusema ana kichaa.

Huyo mungu tunaambiwa ana ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote.

Na bado watu wanaoamini tu mungu huyu yupo.
 
Kiranga said:
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao dhambi inawezekana kuwepo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezekani kuwepo?
Kuna baadhi ya maswali yangu umeyakwepa page ya 14,ila sio case.!

Dhambi ni kama matumizi mabaya ya kitu.ili kuiondoa dhambi lazima uondoe hicho kitu.

Kwa mfano,kuna baadhi ya dawa zinafaa kwa matumizi ya nje tu/external uses

Ukizinywa ni sumu.

Dhambi ipo hivyo hivyo,ni kutokutii sheria zilizopo

Ili uondoe dhambi,lazima uondoe sheria na kiumbe kisichotii iyo sheria

Hivyo basi,ulimwengu usio na dhambi ni ulimwengu usio na sheria wala kiumbe chochote chenye maamuzi huru.

Ni ulimwengu usio na maana yoyote
 
Hahaha we mzee naona sasa unazeeka vibaya.. Nakuelewesha kitu unarudia kule kule kujifanya hujaelewa.

Haya soma ule mstari wa 6 ulioutoa mwenyewe ndio unajibu swali lako la kwanini Mungu kaifanya iwe migumu..

Usilete ujanja ujanja bana Kiranga..

Anyway, kama huamini uwepo wa Mungu why do you care watu wakianzisha mada zinazomhusu?
Na mungu akishaifanya mioyo yao migumu wasimuelewe, wakijitahidi kumuelewa, wanaweza kuondoa huo ugumu aliouweka mungu kuwafanya wasimuelewe?
 
Back
Top Bottom