Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaruhusiwa kuamini chochote.Ndio maana nikasema nimeheshimu mawazo yako hayo kwamba Mungu hayupo ,ila mimi naamini Mungu yupo
Ukianza kuhubiri tu, unahojiwa na kuhakikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaruhusiwa kuamini chochote.Ndio maana nikasema nimeheshimu mawazo yako hayo kwamba Mungu hayupo ,ila mimi naamini Mungu yupo
So long KirangaUnaruhusiwa kuamini chochote.
Ukianza kuhubiri tu, unahojiwa na kuhakikiwa.
JE KWANINI TUKO DUNIANI? NA JE TUKIFA TUNAENDA WAPI IKIWA HATUJALETWA NA MUNGU?Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.
Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
Tuko duniani kwa sababu dunia ni sehemu inayoweza ku support complex life.JE KWANINI TUKO DUNIANI? NA JE TUKIFA TUNAENDA WAPI IKIWA HATUJALETWA NA MUNGU?
MKUU JE KAMA GARI,TV,RADIO ZIMETENGENEZWA NA WATU JE SIYE TUMETENGENEZWA NA NANI NA TUKO DUNIANI KUFANYA NINI?Kuamini uwepo wa mungu ni utumwa wa mawazo na fikra ikiwa ni pamoja na uvivu wa kuuhangaisha ubongo. Kuna maswali mengi juu ya uwepo wa mungu kiasi kwamba vitabu vya dini havina majibu yake mpaka wanafikiria kuviandika upya. Fungukeni nyie bibadamu hakuna mdudu yeyote anayeitwa mungu
KWAHIYO UNATAKA KUNAMBIA DUNIANI VIUMBE HAI TUMEJILETA WENYEWE?Tuko duniani kwa sababu dunia ni sehemu inayoweza ku support complex life.
Tukifa tunaoza na kuwa rutuba kwa mimea na vitu vingine kuendelea mzunguko wa maisha.
By all logical observation.
Nyie mngeweza kuthibitisha kuwa hakuna mungu basi kusingekuwa na haja ya mabishano hapa,ila kwa kuwa mnakubalia kuwa hamuwezi kuthibitisha hilo ndiyo maana inakuwa ngumu kukubali maneno yenu tu.Kama kitu hadithini hakina logic Unajuaje kwamba kipo? Kama huwezi kuthibitisha, Unajuaje kama ni ukweli au hadithi tu ambayo si ukweli?
Unaweza kuonesha huo utofauti?Umeelewaje ilihali nilichoandika hapo juu na ulichoniuliza ni tofauti kabisa?
Wapi unapata hilo?KWAHIYO UNATAKA KUNAMBIA DUNIANI VIUMBE HAI TUMEJILETA WENYEWE?
Kwa sababu hakuna mungu.Ya Mungu atayajibu yeye.
Hakuna binaadamu anaefahamu Mungu anawaza nini.
Kama vyote vikivyo complex vinahitaji muumbaji, hata mungu naye atahitaji muumbaji.MKUU JE KAMA GARI,TV,RADIO ZIMETENGENEZWA NA WATU JE SIYE TUMETENGENEZWA NA NANI NA TUKO DUNIANI KUFANYA NINI?
Utaanzaje kuthibitisha kwamba kitu ambacho hakipo hakipo?Nyie mngeweza kuthibitisha kuwa hakuna mungu basi kusingekuwa na haja ya mabishano hapa,ila kwa kuwa mnakubalia kuwa hamuwezi kuthibitisha hilo ndiyo maana inakuwa ngumu kukubali maneno yenu tu.
Hakuna mungu.wana sema mungu kamuumba bina damu kwa mfano wake yeye, wana sema mungu yupo kila sehemu, ulipo yupo, haya ni maneno yanayo patkana katika vitabu vya dini zote ndivyo tulivo fundishwa, katika vitabu hivi havija pamba panua kiundani manneno haya, hii inatokana na kwamba vitabu hivi vimeandikwa kwa philosophy inahitaji uelewa wa hali ya juu katika kupambanua hili,si kila mtu ataeweza kuelewa vile walivo maanisha waandishi, ndio maana viongozi wetu wanafafanua kutokana na uelewa wao binafsi njinsi walivo elewa wao na kulazimisha wengine waelewe kama walivo elewa wenyewe, mtu akisema ni hadithi au historia anakuwa hajakosea, kina cho matter hapo nini walilenga kitufikie sisi vizazi vipya. sasa ninge penda watu tujue tukiambiwa mungu yupo kila sehemu ,ulipo yupo, unaelewa nini hapo? na mungu ni mmoja tu, dunia ina watu wangapi?, na tumeumbwa kwa mfano wake yeye tuna elewa nini hapo?
kwa uwezo wa kuelewa tulionao ikiwa si finyu na elimu duni tunazo pewa na viongozzi wetu wadini wachache hatuoni kuna haja ya kujielewa kwanza sisi kabla ya kumuelewa mungu kwanza maana naona kunahaja ya kujijua na kujua chanzo then itakuwa rahisi sana ku connect kwenye source.
hatahivo ninge penda kumalizia kwa wale wanao amni kua yesu ni ndio mungu their completely wrong, bali nijua vo mimi jama hana tofauti na sisi kabisa ila alikuwa ni mtu ambaye alijielewa na kuamua kuwa fundisha watu ili wapate kujielwa kwamba who were are ila sema hakuwa direct sana ndo maana walio kuwepo kipindi hicho walijitahidi kunukuu kile alicho kiongea hawakufafanua ili atakae kuja kukisoma ajiongeze kutokana na elimu kidogo aliyo nayo.
Hicho unachoamini kilikitengeneza, chenyewe kilitengenezwa na naniMKUU JE KAMA GARI,TV,RADIO ZIMETENGENEZWA NA WATU JE SIYE TUMETENGENEZWA NA NANI NA TUKO DUNIANI KUFANYA NINI?
Vipi kuhusu huyo mungu, je unaamini alijitengeneza mwenyeweKWAHIYO UNATAKA KUNAMBIA DUNIANI VIUMBE HAI TUMEJILETA WENYEWE?
Hapo ndipo walipowapumbaza wavivu wa kujiongeza kama nyie. Hebu nijibu haka kaswali. Je, uwepo wa shetani ilikua ni mipango ya mungu au yupo kwa sababu mungu alifeli?Ya Mungu atayajibu yeye.
Hakuna binaadamu anaefahamu Mungu anawaza nini.