Je! Mungu ni yule yule?

Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.

Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
JE KWANINI TUKO DUNIANI? NA JE TUKIFA TUNAENDA WAPI IKIWA HATUJALETWA NA MUNGU?
 
JE KWANINI TUKO DUNIANI? NA JE TUKIFA TUNAENDA WAPI IKIWA HATUJALETWA NA MUNGU?
Tuko duniani kwa sababu dunia ni sehemu inayoweza ku support complex life.

Tukifa tunaoza na kuwa rutuba kwa mimea na vitu vingine kuendelea mzunguko wa maisha.

By all logical observation.
 
wana sema mungu kamuumba bina damu kwa mfano wake yeye, wana sema mungu yupo kila sehemu, ulipo yupo, haya ni maneno yanayo patkana katika vitabu vya dini zote ndivyo tulivo fundishwa, katika vitabu hivi havija pamba panua kiundani manneno haya, hii inatokana na kwamba vitabu hivi vimeandikwa kwa philosophy inahitaji uelewa wa hali ya juu katika kupambanua hili,si kila mtu ataeweza kuelewa vile walivo maanisha waandishi, ndio maana viongozi wetu wanafafanua kutokana na uelewa wao binafsi njinsi walivo elewa wao na kulazimisha wengine waelewe kama walivo elewa wenyewe, mtu akisema ni hadithi au historia anakuwa hajakosea, kina cho matter hapo nini walilenga kitufikie sisi vizazi vipya. sasa ninge penda watu tujue tukiambiwa mungu yupo kila sehemu ,ulipo yupo, unaelewa nini hapo? na mungu ni mmoja tu, dunia ina watu wangapi?, na tumeumbwa kwa mfano wake yeye tuna elewa nini hapo?

kwa uwezo wa kuelewa tulionao ikiwa si finyu na elimu duni tunazo pewa na viongozzi wetu wadini wachache hatuoni kuna haja ya kujielewa kwanza sisi kabla ya kumuelewa mungu kwanza maana naona kunahaja ya kujijua na kujua chanzo then itakuwa rahisi sana ku connect kwenye source.

hatahivo ninge penda kumalizia kwa wale wanao amni kua yesu ni ndio mungu their completely wrong, bali nijua vo mimi jama hana tofauti na sisi kabisa ila alikuwa ni mtu ambaye alijielewa na kuamua kuwa fundisha watu ili wapate kujielwa kwamba who were are ila sema hakuwa direct sana ndo maana walio kuwepo kipindi hicho walijitahidi kunukuu kile alicho kiongea hawakufafanua ili atakae kuja kukisoma ajiongeze kutokana na elimu kidogo aliyo nayo.
 
MKUU JE KAMA GARI,TV,RADIO ZIMETENGENEZWA NA WATU JE SIYE TUMETENGENEZWA NA NANI NA TUKO DUNIANI KUFANYA NINI?
 
Tuko duniani kwa sababu dunia ni sehemu inayoweza ku support complex life.

Tukifa tunaoza na kuwa rutuba kwa mimea na vitu vingine kuendelea mzunguko wa maisha.

By all logical observation.
KWAHIYO UNATAKA KUNAMBIA DUNIANI VIUMBE HAI TUMEJILETA WENYEWE?
 
Kama kitu hadithini hakina logic Unajuaje kwamba kipo? Kama huwezi kuthibitisha, Unajuaje kama ni ukweli au hadithi tu ambayo si ukweli?
Nyie mngeweza kuthibitisha kuwa hakuna mungu basi kusingekuwa na haja ya mabishano hapa,ila kwa kuwa mnakubalia kuwa hamuwezi kuthibitisha hilo ndiyo maana inakuwa ngumu kukubali maneno yenu tu.
 
Jehovah,yule mungu katika Agano la Kale ni Satan. Ndio maana Knights Templar walikuwa wanachukiwa sana na Vatican. Waligundua kwamba Yesu alikuwa anagombana na Wafarisayo,anasema Jehovah wao ni Satan. Mafarisayo walikuwa wamekasirika sana,wakasema yupo jamaa mmoja hapa kazaliwa na kahaba eti anasema mungu wetu ni shetani.
 
Ya Mungu atayajibu yeye.
Hakuna binaadamu anaefahamu Mungu anawaza nini.
 
Nyie mngeweza kuthibitisha kuwa hakuna mungu basi kusingekuwa na haja ya mabishano hapa,ila kwa kuwa mnakubalia kuwa hamuwezi kuthibitisha hilo ndiyo maana inakuwa ngumu kukubali maneno yenu tu.
Utaanzaje kuthibitisha kwamba kitu ambacho hakipo hakipo?

Ushawahi kusikia polisi anaenda na warrant kutafuta madawa ya kulevya anamwambia mwenye nyumba athibitushe nyumba yake haina madawa ya kulevya?

Kuthibitisha mara zote ni onus ya wale wanaosema kitu kipo, wanaosema hakipo kazi yao ni kuwataka wanaosema kipo wathibitishe.

Kilichopo utakionyesha, utapata sauti yake, utatafuta fingerprints etc.

Kisichopo utaanzia wapi kuthibitisha kwamba hakipo?

Huyu mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote, imekuwaje akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya haawwzwkani?

By the test of logical consistency, your god is inconceivable.
 
Hakuna mungu.

Fikira ya kuwapo mungu ni mabaki ya utoto wa kisaikolojia.

Watu wanaogopa upweke wa kuwa na maamuzi ya mwisho, wanataka kuwa watoto wenye baba yao anayekuwa na maamuzi ya mwisho.

Kwa kuwa baba wa kibinadamu wote hufa, watu wamejiaminisha kwamba kuna baba wa milele asiyekufa. Mungu.

Lakini kiuhalisia hayupo.

Kama angekuwepo, asingeumba dunia yenye kuruhusu mabaya kama hii.
 
Binadamu kapewa utashi na akili sasa kaanza kumuhoji na kumchunguza Mungu.

Njia zake hazichunguziki.

Wale mnaosema kama Mungu ni mwema mbona kaumba dunia iliyojaa maovu, ni hivi Mungu hajatuumba sisi kama maroboti au watumwa bali katupa FREE WILL ya kufanya tunachoona kinafaa.

Uamuzi ni wako kuamini kama Mungu yupo au hayupo hakulazimishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…