Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Umeelewaje ilihali nilichoandika hapo juu na ulichoniuliza ni tofauti kabisa?Sina sifa ya kukurupuka,nimekuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewaje ilihali nilichoandika hapo juu na ulichoniuliza ni tofauti kabisa?Sina sifa ya kukurupuka,nimekuelewa.
Sasa fanya hivi kwanza,tupe ushahidi wa kuwa haya mabaya yameumbwa na aliyeumba ni mungu,ukiweza hilo kisha utupe ushahidi wenye kueleza kuwa mungu hana uwezo wa kuumba mabaya au anao huo uwezo ila alisema hatoumba mabaya.Mungu wao angekuwapo, kusingekuwa na mabaya.
Kuwepo kwa mabaya ni ushahidi kwamba mungu huyo hayupo.
Ama sivyo, kwa nini mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Unasema mtu anakuwa mtumwa kwa kilichokuwepo, kwa hiyo sie ni watumwa kwa sababu mungu yupo si ndivyo?Nini ndiyo nini?
Unaposema mapungufu unazungumzia nini?na msingi wa hoja yako ya hayo mapungufu imetoka ndani ya vitabu vya vyenyd kumzungumzia huyo mungu au ni kimtazamo wako tu?Haiwezekani kuwepo na Mungu mwenye uwezo wote, upendo, muumbaji wa vyote na aliyeko kila mahali huku tushuhudie mapungufu mengi kiasi hiki kwenye ulimwengu huu mnaosema kwamba kauumba yeye.
Ndio nakuliza umeweza kujuaje...?! Hebu nipe na mimi technic uliyotumia...Najua kwasababu hayupo na hajawahi kuwepo
Ndani ya kitabu chenu kitakatifu cha bibliaUnaposema mapungufu unazungumzia nini?na msingi wa hoja yako ya hayo mapungufu imetoka ndani ya vitabu vya vyenyd kumzungumzia huyo mungu au ni kimtazamo wako tu?
Haya yaeleze hayo mapungufu.Ndani ya kitabu chenu kitakatifu cha biblia
Yani unaniuliza kitu ambacho hakijawahi kutokea nilikiangalia wapi? Una hakika kuwa akili yako iko sawa?Ndio nakuliza umeweza kujuaje...?! Hebu nipe na mimi technic uliyotumia...
Ulimwangalia wapi ukakuta hayupo...?!
Huyu Mungu huyu[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani awe na uwezo wa kuzuia mabaya ila akae tu na kusema hatazuia?? Yataka uwe na moyo mzito sana kuamini hiliSasa fanya hivi kwanza,tupe ushahidi wa kuwa haya mabaya yameumbwa na aliyeumba ni mungu,ukiweza hilo kisha utupe ushahidi wenye kueleza kuwa mungu hana uwezo wa kuumba mabaya au anao huo uwezo ila alisema hatoumba mabaya.
Kama utaweza kujibu hayo maswali ndipo utaweza kupata jibu la hilo swali lako,maana uoga wenu ndio unaofanya kuja na hili jambo ambalo wenyewe mnajichanganya,mara mwengine aseme mungu asingeumba mabaya kama yupo mwengine aseme mungu angeyazuia mabaya kama yupo.Huyu Mungu huyu[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani awe na uwezo wa kuzuia mabaya ila akae tu na kusema hatazuia?? Yataka uwe na moyo mzito sana kuamini hili
Maelezo yako tu hapo [emoji115] [emoji115] juu yanatosha sana kuonyesha kuwa hayupo
We umesema ya kwamba Mungu hayupo, ndio nakuuliza ulimwangalia wapi ukakuta hayupo...?!Yani unaniuliza kitu ambacho hakijawahi kutokea nilikiangalia wapi? Una hakika kuwa akili yako iko sawa?
Je wewe unaamini kuna miungu?We umesema ya kwamba Mungu hayupo, ndio nakuuliza ulimwangalia wapi ukakuta hayupo...?!
Mi sio kichaa, ntaangaliaje kisichokuwepo??We umesema ya kwamba Mungu hayupo, ndio nakuuliza ulimwangalia wapi ukakuta hayupo...?!
Utaangalia wapi...?! Je zizini..?! Bandani...?! Kwenye microscope...?! Au wapi...?!Mi sio kichaa, ntaangaliaje kisichokuwepo??
Imani ni zawadi kutoka kwa Mungu kupitia mwanae wa pekee Yesu Kristo.
Imani ni ile Elimu yenye mapokeo sahihi na fikira sahihi zenye Maono bora na malengo Bora kwa ajili Utukufu wa Mungu. Elimu hii humfanya mtu kuwa na uhakika na anachofanya au amini. ( stable, reliable , Trustworthy)
Elimu hii inajengwa na vitu vikuu vitatu, yaani 1. Ujuzi (Knowledge) 2. Hekima 3. Uelewa. Kikubwa Kati ya vyote hivyo ni Uelewa.
Elimu hii pia hufundishwa kupitia vitu vikuu vitatu 1. Matendo 2. Kusikia 3. Kuona ; Kikubwa kuliko vyote ni kusikia
![]()
Nikuulize wewe ambae upeo wako umeishia kwenye kuangalia[emoji2] [emoji2]Utaangalia wapi...?! Je zizini..?! Bandani...?! Kwenye microscope...?! Au wapi...?!
Kwa hiyo Mkuu Kiranga huwezi kuamini kuwa Mungu yupo hadi umuone? Tutaaminije kuwa kuna mtu aliitwa Vasco da Gama ilihali hatumuoni. Kama historia iliyo ktk vitabu vya dini ni maneno ya watu tu unatushauri tusiamini historia kwa sababu ni hadithi tu zilizotungwa na watu?Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.
Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
Wa kwako uliishia kwenye kumtafuta kabisa...? Ukamkosa..Nikuulize wewe ambae upeo wako umeishia kwenye kuangalia[emoji2] [emoji2]
God ni MythWa kwako uliishia kwenye kumtafuta kabisa...? Ukamkosa..
Ndio nakuuliza ulimtafutia wapi ukagundua hayupo...?!
Umejuaje...?!God ni Myth