Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unajuaje kwamba hiyo si inarticulate observation tu?Hujawahi kuona mtu anakwambia unaweza ukawa sawa kwa namna moja, na usiwe sawa kwa namna nyingine...?!
lakini huyo mtu kuwa sawa au asiwe sawa bado yupo...
Hope mfano wa kitu ambacho ni possible na impossible at the same time, kitu kinachojipinga existence kama huyu mungu.
Kama contradiction unaowezekana, then mungu wako yupo na hayupo at the same time.
Which is absurd and makes any discussion about anything pointless, because contradiction is possible, utasemaje nimechelewa kuna akazini wakati anaweza kuwa nonetheless halafu sijachelewa?
Utajuaje bajeti kubwa zaidi wakati unaposema ndogo inaweza kuwa kubwa?
Utasemaje mungu yupo wakati yupo inaweza kumaanisha hayupo?