Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Mkuu, mimi nimenukuu tu na kuona ni hekima kuitumia hiyo nukuu.neno mpumbavu sihata mimi naweza kukwambia tu "" kwahiyo kwakuwa limetoka kwenye Bible basiii umehadaika ..empty set kabisaa
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mimi nimenukuu tu na kuona ni hekima kuitumia hiyo nukuu.neno mpumbavu sihata mimi naweza kukwambia tu "" kwahiyo kwakuwa limetoka kwenye Bible basiii umehadaika ..empty set kabisaa
Hujaweza kuielezea vizuri hiyo nguvu.Namaanisha nguvu zaidi ya hilo jua.
Hata unaposema jua lina nguvu zaidi ya binadamu sio ukweli moja kwa moja, kwani binadamu pia ana nguvu kuliko jua kwenye maeneo flani flani (kumbuka nguvu simaanishi misuli, simaanishi physical strength pekee). In a way kuna mambo binadamu anaweza fanya lkn jua haliwezi.
Sio jua tu, hata maji, yanasapoti maisha katika dunia hii
Hata hewa pia.
Turudi kwenye swali la msingi, najua umelielewa...... Je unajua/unaamini kuna nguvu kubwa zaidi ya uwezo wa kibinadamu?
Hapa ndio PA kuanzia
daaaahh nasikitika kuona hoja zako nzito kama hzi huwa zinajibiwa na watu wenye hoja nyepesi mnooo ""Kama kitu hakipo. Unaanzia wapi kuthibitisha kwamba hakipo?
Uthibitisho wa aina gani utakufaa kuonesha kwamba kitu hakipo?
Nikikwambia pembetatu yenye pembe sita ipo, ila wewe huijui na huna akili za kuiona tu (wakati kwa kweli haipo), utanithibitishiaje kwamba haipo?
Aliyeua kwa kisu unaweza kutoa ushahidi wa alama za vidole zake ukasema huyu kaua kwa kisu, kisu kimepatikana eneo la mauaji kina damu, kina alama zake za vidole, jeraha lililoua limetokana na kisu hiki, huyu ambaye alama zake za vidole zipo kwenye kisu hana alibi.Zaidi kuna video imemrekodi akiua. Zaidi, nyumba ina alarm na ikajifunga milango, polisi wakaja wakamkuta muuaji ndani. Jirani walimuona dirishani akiua.
Overwhelming evidence. Huyu kaua.
Sasa kama hakuna aliyeua kwa kisu, utathibitishaje kwamba hakuna aliyeua kwa kisu wakati hakuna maiti, hakuna kisu, hakuna alama za vidole?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kama alivyoandikwa katika vitabu vya Biblia na Quran, hayupo.
Hayupo kwa sababu, dhana nzima ya kuwepo kwake, inajipinga yenyewe.Contradiction.
Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe, kwa sababu, kwa upande mmoja, Mungu huyu ni mtakatifu sana kiasi kwamba kibaya chochote hakiwezi kutoka kwake. Kwa maana hiyo, angekuwepo, dunia isingewezekana kuwa na mabaya. Ukisema aliumba dunia isiwe na mabaya ila Shetani ndiye akaleta mabaya, nitakuambia hata huo uwezo wa Shetani kuweza kuleta mabaya ni ubaya ambao Mungu mwenye utakatifu unaosemwa hatakiwi kuwa nao.
Kwa hiyo, utaona kwamba, kuwepo kwa mabaya, na zaidi, kuwezekana kuwepo kwa mabaya katika dunia hii, ni uthibitisho kwamba Mungu huyu hayupo.
Wengine wamejaribu kujibu kwa kusema Mungu kaachia mabaya ila katupa uwezo wa kuchagua mabaya na mazuri. Hili ni jibu lisilo na mantiki. Ukiwa na mtoto wako mchanga ambaye uelewa wake ni mdogo sana, na wewe una helewa mkubwa sana kujilinganisha naye, unampenda, utampa chupa ya maziwa na pembeni umuwekee chupa ya sumu ili tu aweze kuchagua anachotaka? Hapana. Utahakikisha nyumba nzima haina sumu anayoweza kuifikia. Utampa maziwa tu.
Sasa kama binadamu mwenye uwezo mdogo, upendo mdogo na ujuzi mdogo anakataa kumpa mtoto wake mchanga maziwa na sumu ili mtoto awe na uhuru wa kuchagua, imekuwaje Mungu huyu mnayemsema mwenye uwezo usio na mwisho, ujuzi usio na mwisho na upendo usio na mwisho ameruhusu ulimwengu uwe na mazuri na mabaya ili watu wawe na uhuru wa kuchagua tu?
Watu kama wangeumbwa katika dunia ambayo haiwezekani kuwa na mabaya na mabaya hata hayajulikani, in fact hayapo kabisa hata kidhana, wangekosaje uhuru wa kitu ambacho hakijulikani wala kufikirika wala kuwepo kidhana tu?
Huyu Mungu yupo kweli au hadithi tu?
Kaachia dunia yenye magonjwa, vita, matetemeko, mafuriko, njaa, umasikini, kuteseka etc, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hivyo vyote haviwezekani watu wakaishibraha mustarehe.
Kwa nini?
Sijajibiwa jibu la kueleweka kwenye swali hili.
hahaaaakumthibitishia Kiranga kuwa Mungu yupo ni sawa na kutuaminisha wengine kuwa Bob Magogo ana nia njema na nchi hii!
hahaaa haaaWw mshirikina huku huna say
Thibitisha kwa kiswahili bhana wengine hatujasomathe most high and powerful holy spirit than all of ours ,,,,,he is the uniting holy spirit from the all others difference spirits ,,he is the centre of peace
Watu wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko wanavyoogopa upumbavu wenyewe.neno mpumbavu sihata mimi naweza kukwambia tu "" kwahiyo kwakuwa limetoka kwenye Bible basiii umehadaika ..empty set kabisaa
aiseeee...Kama mtapenda kupata ufahamu mnaweza kusoma kitabu cha Hawking: The Brief History of Time baadhi ya majibu Hawking anayajibu! It is piece written by Genius who is also a Nobel Prize Laurent! The degree of abstraction and sophistication of this book is so high but some answers to Mkuu Kiranga are found in this piece!
Nimependa critical arguments za Kirenga! Taabu sisi wanadamu hupokea mambo yaliyoanzishwa na watu wengine duniani bila kuuliza critically ili kufahamu!
Juzi tu Rwanda Kagame amefunga makanisa zaidi ya 600! Argument ni kuwa kwa nini makanisa mengi sana yanafunguliwa Kigali na siyo Visima vya maji, hospitali au shule?
Hahahaha mkuu kweli hutaki mchezoThibitisha kwa kiswahili bhana wengine hatujasoma
Afu inaonesha huna hoja za kujibishana jamaa
hahaaa haaaaThibitisha kwa kiswahili bhana wengine hatujasoma
Afu inaonesha huna hoja za kujibishana jamaa
Ila mambo ya kimwili unaweza kuyazungumzia kiroho??Mambo ya kiroho huwezi kuyazungumzia kimwili
nalijua hiloThibitisha kwa kiswahili bhana wengine hatujasoma
Afu inaonesha huna hoja za kujibishana jamaa
aiseee kwakweli hao mafilosofia wa hicho kitabu walijua kucheza na akili za watu mnooo aiseee Ina staajabisha mnooo kuona Mungu anayetupnda Muweza wa yote akituhukumu kwa kutupatia kifo kwa makosa ambayo wamefnya watu ambao hata hatuwajuhi na huwenda hata kama tungewajua tusingekuwa na ushirika nao pia ..yaani kila mtu angekuwa na habari zake ..yaani tunda wale wengine adhabu tupew sote ..nonsense ...sisi tunaujua hata huo utamu wa hilo tunda ukoje ...tukisema kuwa huyo Mungu nimuonevu tutakuwa tunakosea ama !!!?Watu wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko wanavyoogopa upumbavu wenyewe.
Kwa hiyo waliojua reverse psychology wakajua ukitaka washike upumbavu, waambie kukataa upumbavu ni upumbavu.
Kwa mtu anayeogopa kuitwa mpumbavu, mstari mmoja wa Biblia unaosema "mpumbavu amesema hakuna Mungu" unamfunga asihoji uwepo wa Mungu.
Wakati upumbavu halisi ni kutohoji uwepo wa Mungu.
Biblia ni kitabu chenye tricks kali sana.
Ndio inawezekana kabisa, ila atakayekuelewa ni mtu wa kiroho, hii kitu kwa mtu wa kawaida/kimwili hawezi kukuelewaIla mambo ya kimwili unaweza kuyazungumzia kiroho??